dereva wa hii semi-trela alitaka kugeuza gari na kujikuta anakwama kwenye tifutifu na kuziba barabara sehemu za mikese mizani leo hii
lori la azania likiwa limeacha njia maeneo ya ubena nzomonzi mkoani morogoro jioni hii. hakuna aliyepoteza maisha na chanzo cha ajali hiyo haikuelezwa kwani dereva na wasaidizi wake walikuwa wakali walipohojiwa na mdau KAM wa Globu ya Jamii aliyeleta taswira hizi sasa hivi
mbele kidogo maeneo ya mikese mizani mdau KAM amekuta ajali ingine wakati magari ya mafuta kuvaana uso kwa uso. madereva na wasaidizi wao wote wamenusurika na wanauguza majeraha madogo madogo. chanzo cha ajali hakijajulikana







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. madereva wengi hawatumii common sense, angalia picha ya kwanza - eti alitaka kugeuza 40 feet lorry kwenye highway.

    kama mimi ni mwajiri wake nampiga kalamu instantly, sitaki discussion. hiyo ni mali ya mamilioni, lakini kibaya zaidi ni usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.

    magari yamekuwa mengi mno kiasi kwamba udereva siyo specialised preofession. wamekuwa kama waandishi wa habari walivyo utitiri, lakini soma article zao ukimbie.

    ReplyDelete
  2. kama mambo serikali ingeweza kuvalia njuga ni ajali za barabarani.hiyo sekta natakiwa itupiwe macho.kabla sijatembea nilijua ajali za barabarani kama haziwezi punguzwa.KUMBE INAWEWEZEKANA KABISA.

    ReplyDelete
  3. Corrupt system ya utoaji leseni za udereva, matokeo yake ni madereva wasiotumia common sense na wauaji. Solution ni kwamba kila dereva anayesababisha kifo au vifo akinusurika katika hiyo ajali asiachiwe akaishi, awe executed hadharani kwa kutumia firing squad, hakuna kifungo.China wanaweza kutufundisha jinsi wanavyofanya.

    ReplyDelete
  4. BARAFU INAANGUKA ULAYA GARI ZINAPINDUKA BONGO....
    MDAU MONEY UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...