mpiganaji amiri mhando, ambaye ni mhariri wa michezo wa gazeti la habari leo, akiwa na mai waifu wake mariam nassor kwenye mnuso wao usiku wa kuamkia leo ukumbi wa vijana social hall jijini dar. walimeremeta rasmi majuzi huko chake chake, pemba
maharusi wakiwasili ukumbini
wapiganaji toka shoto ben kisaka wa jamboleo , maulid ahmad maulid itv nba radio one zenji, majuto omary na frank sanga wa mwananchi wakiwa mnusoni
ba'nkwe maulid hamad maulid akitoa nasaha
kamarade ali choki alikuwepo kutumbuiza kwa
kibao chake cha Extra Bongo cha 'My First Lady'
alfred lucas wa mwanahalisi akighani ngoma za extra bongo. Choki mwenyewe kazima fegi
wafanyakazi wenzie bwa'harusi
kamati ya maandalizi









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Jamani hakuna aliyemshauri bi-arusi mbona amezidisha 'make ups'yaani anaonekana kama ameunguzwa uso..Hongera wanandoa na maisha yenu ya pamoja..

    ReplyDelete
  2. hongereni na karibuni kwenye ulimwengu mpya.....kazi ipo si kidogo

    ReplyDelete
  3. OMG What is going on with brides make up Toba !!!

    ReplyDelete
  4. hongereni maharusi na mmependeza lakini bi harusi alizidishwa make up hadi anaonekana kama artificial, natoa ushauri kwa bi harusi wengine wakati unapambwa una uhuru wakumwambia mpambaji unachotaka usikae kama vile hamna vioo, but mungu awajalie baraka katika ndoa yenu.

    ReplyDelete
  5. MASH ALLAH

    ReplyDelete
  6. bi harusi amezidishwa make up jamani wapambaji maharusi muwe mnaanaglia vizuri jamani sio mnapamba mtu kama jini embu ona msichana wa watu mzuri tu sema make up imezidi ok wamependeza mungu awajaalie ndoa yenu iwe na baraka na upendo!!!

    ReplyDelete
  7. walioulizia make up ya biharusi nawaunga mkono hata mimi nimeona na to be honest nilijiuliza kama huyu dada ni mmoja ya wale wanaojichubua ngozi! i hope not kwani anaonyesha kuwa ana uzuri fulani ambao picha hizi zimeuficha

    ReplyDelete
  8. No comment

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  9. Wanaadamu wameumbwa tofauti naam kuna wanaopenda podari zinazong'ara.wengine wanapenda khafifu.kuna wanaopenda rangi kali na wengine nyepesi.ili mradi Bwana Harusi amefurahi yetu ni macho kushangilia MABROUK NA AMANI IWE NANYI.

    ReplyDelete
  10. mie sidhani kama ni make up naona tu kaka michuzi ana KAMERA yenye HIGH RESOLUTION manake inachukua hata upele usioonekana. inaweza kuwa ni poda kidogo tu ila kamera imezidisha mambo.

    Maharusini karibuni kwenye maisha mapya ni magumu ila mazuri sana marafiki kwa sasa mchague wako wanaoharibia wenzao wakiona umepata JIKO.

    ReplyDelete
  11. MASH ALLAH!!!! KAMA BIBI HARUSI AKIPAMBWA ANAKUWA HIVI AFADHALI ABAKI NATURAL! HUYO MPAMBAJI ALITAKA AOLEWE YEYE NINI!!!!
    HONGERENI MAHARUSI NA KARIBUNI KAMBINI

    ReplyDelete
  12. BI HARUSI ANGEPENDEZA ZAIDI IWAPO HIZO MAKE-UP ZISINGEZIDISWA,MAANA NILIPOONA KWA MARA YA KWANZA SURA YA BI HARUSI NILISHTUKA ATI!!HONGERENI SANA MAHARUSI,MUNGU AWAJAALIE MAISHA YENYE FURAHA,AMANI NA UPENDO

    ReplyDelete
  13. hii mambo ya kuoa mwanaume nyundo mwanamke mlingoti si sahihi kwa upande wangu, halafu hawa wazanzibari mambo ya poda ndio zao poda mpaka bi harusi haonekani ni utamaduni wao nahisi lakini sio vizuri

    ReplyDelete
  14. wewe pumba wa Mon Jan 04, 04:21:00 PM ni wapi uliposoma au kuambiwa kuwa hawa ni watu wa zanzibar? au ni ufinyu wa akili zako ndivyo zinavyokupeleka kuamini kila mwenye jina lakiislamu au muislamu basi kwao ni zanzibar? fumbua macho ustaarabike!!!!!

    ReplyDelete
  15. eti anony Mon Jan 04, 05:26:00 PM, kumbe chakechake, pemba sio zanzibar? basi pumba tupo wengi kasoro weye.

    ReplyDelete
  16. Anony wa Monday Jan 04,04:21 PM afadhali ya hao wazanzibari wanaotia poda nyingi lakini hawajichubui kama wabara mara nyingi hawa watu huwa wana rangi mbili kwa kutumia kila aina ya mikorogo,sasa yupi bora anetia poda nyingi au uso wenye rangi mbili?

    ReplyDelete
  17. eh eh ehh mdau hapo juu ebu nyamaza wabara wanajichua eenh mabingwa wa mkorogo ni wanawake wa kiarabu nenda kariakoo ukajionee utablooo wanapenda kujiongezea rangi sana lol!

    ReplyDelete
  18. Hahaha mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu eeh,hivi hujatembea kule kariakoo ukawaona wakinamama wana rangi mbili yaani kwenye kipaji na mashavu rangi nyengine na juu ya mashavu rangi nyengine nasikia wengine huwa wanajitia jik usoni,ukweli unabaki pale pale wabara wanapenda kujichubua ukilinganisha na waznz wanaopenda poda nyingi,ndio maana nikasema bora ya poda kuliko kujichubua.

    ReplyDelete
  19. aah jamani mbona harusi ya bwana amiri inataka kutikisa muungano tena?namna gani hapo, hongera kaka wifi yupo bomba mbaya

    N,Mgonja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...