


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani hakuna aliyemshauri bi-arusi mbona amezidisha 'make ups'yaani anaonekana kama ameunguzwa uso..Hongera wanandoa na maisha yenu ya pamoja..
ReplyDeletehongereni na karibuni kwenye ulimwengu mpya.....kazi ipo si kidogo
ReplyDeleteOMG What is going on with brides make up Toba !!!
ReplyDeletehongereni maharusi na mmependeza lakini bi harusi alizidishwa make up hadi anaonekana kama artificial, natoa ushauri kwa bi harusi wengine wakati unapambwa una uhuru wakumwambia mpambaji unachotaka usikae kama vile hamna vioo, but mungu awajalie baraka katika ndoa yenu.
ReplyDeleteMASH ALLAH
ReplyDeletebi harusi amezidishwa make up jamani wapambaji maharusi muwe mnaanaglia vizuri jamani sio mnapamba mtu kama jini embu ona msichana wa watu mzuri tu sema make up imezidi ok wamependeza mungu awajaalie ndoa yenu iwe na baraka na upendo!!!
ReplyDeletewalioulizia make up ya biharusi nawaunga mkono hata mimi nimeona na to be honest nilijiuliza kama huyu dada ni mmoja ya wale wanaojichubua ngozi! i hope not kwani anaonyesha kuwa ana uzuri fulani ambao picha hizi zimeuficha
ReplyDeleteNo comment
ReplyDelete(US Blogger)
Wanaadamu wameumbwa tofauti naam kuna wanaopenda podari zinazong'ara.wengine wanapenda khafifu.kuna wanaopenda rangi kali na wengine nyepesi.ili mradi Bwana Harusi amefurahi yetu ni macho kushangilia MABROUK NA AMANI IWE NANYI.
ReplyDeletemie sidhani kama ni make up naona tu kaka michuzi ana KAMERA yenye HIGH RESOLUTION manake inachukua hata upele usioonekana. inaweza kuwa ni poda kidogo tu ila kamera imezidisha mambo.
ReplyDeleteMaharusini karibuni kwenye maisha mapya ni magumu ila mazuri sana marafiki kwa sasa mchague wako wanaoharibia wenzao wakiona umepata JIKO.
MASH ALLAH!!!! KAMA BIBI HARUSI AKIPAMBWA ANAKUWA HIVI AFADHALI ABAKI NATURAL! HUYO MPAMBAJI ALITAKA AOLEWE YEYE NINI!!!!
ReplyDeleteHONGERENI MAHARUSI NA KARIBUNI KAMBINI
BI HARUSI ANGEPENDEZA ZAIDI IWAPO HIZO MAKE-UP ZISINGEZIDISWA,MAANA NILIPOONA KWA MARA YA KWANZA SURA YA BI HARUSI NILISHTUKA ATI!!HONGERENI SANA MAHARUSI,MUNGU AWAJAALIE MAISHA YENYE FURAHA,AMANI NA UPENDO
ReplyDeletehii mambo ya kuoa mwanaume nyundo mwanamke mlingoti si sahihi kwa upande wangu, halafu hawa wazanzibari mambo ya poda ndio zao poda mpaka bi harusi haonekani ni utamaduni wao nahisi lakini sio vizuri
ReplyDeletewewe pumba wa Mon Jan 04, 04:21:00 PM ni wapi uliposoma au kuambiwa kuwa hawa ni watu wa zanzibar? au ni ufinyu wa akili zako ndivyo zinavyokupeleka kuamini kila mwenye jina lakiislamu au muislamu basi kwao ni zanzibar? fumbua macho ustaarabike!!!!!
ReplyDeleteeti anony Mon Jan 04, 05:26:00 PM, kumbe chakechake, pemba sio zanzibar? basi pumba tupo wengi kasoro weye.
ReplyDeleteAnony wa Monday Jan 04,04:21 PM afadhali ya hao wazanzibari wanaotia poda nyingi lakini hawajichubui kama wabara mara nyingi hawa watu huwa wana rangi mbili kwa kutumia kila aina ya mikorogo,sasa yupi bora anetia poda nyingi au uso wenye rangi mbili?
ReplyDeleteeh eh ehh mdau hapo juu ebu nyamaza wabara wanajichua eenh mabingwa wa mkorogo ni wanawake wa kiarabu nenda kariakoo ukajionee utablooo wanapenda kujiongezea rangi sana lol!
ReplyDeleteHahaha mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu eeh,hivi hujatembea kule kariakoo ukawaona wakinamama wana rangi mbili yaani kwenye kipaji na mashavu rangi nyengine na juu ya mashavu rangi nyengine nasikia wengine huwa wanajitia jik usoni,ukweli unabaki pale pale wabara wanapenda kujichubua ukilinganisha na waznz wanaopenda poda nyingi,ndio maana nikasema bora ya poda kuliko kujichubua.
ReplyDeleteaah jamani mbona harusi ya bwana amiri inataka kutikisa muungano tena?namna gani hapo, hongera kaka wifi yupo bomba mbaya
ReplyDeleteN,Mgonja