Home
Unlabelled
ATM inayotembea ya CRDB
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! wmejiandaa lakini kwa purukushani za wazee wa kazi?. wasiwe wanawaweka katia risk dereva na clue yake. Maana hiyo ni "mihela in motion"
ReplyDeleteHizi gari ni bullet proof so hakuna shida
ReplyDeleteebwanaeeeeeeee!!!! mi hii hapa kibongo bongo c sapoti naona mtawapa ulaji wazee wa kazi na naamini hilo gari watalilia mingo yani majambazi wenye silaha
ReplyDeletebullet proof?? Wazee wa kazi wakija wanachukua chao.Ni lazima serikali iweke ulinzi wakati yanatembea
ReplyDeleteduu kazi ipo je?hilo basi lina tracking device kwa jinsi navyowajuwa waswahili hawachelewi kuliteka nyara hilo ATM bus
ReplyDelete