Intavyuu na mkurugenzi wa jarida la Bang!
Emelda mwamanga.
SWALI: Tueleze kwa ufupi safari ya maisha yako?
EMELDA: Mimi nimezaliwa katika familia ya mabinti wawili mimi nikiwa mtoto wa kwanza na mdogo wangu anayenifuatia anaitwa Ritha.
SWALI: Tueleze kwa ufupi safari ya maisha yako?
EMELDA: Mimi nimezaliwa katika familia ya mabinti wawili mimi nikiwa mtoto wa kwanza na mdogo wangu anayenifuatia anaitwa Ritha.
Nimezaliwa miaka 31 iliyopita,nimesoma shule ya oysterbay primary school mama yangu alikuwa mwalimu hapo,baba yangu alikuwa marketing manager kwenye textile company,baadaye kukaja kuwa na ubinafsishaji baadaye akaja kukinunua hicho kiwanda kwa sasa kinajihusisha na magunia.
Nilivyomaliza primary school nikaenda jangwani secondary school nikafaulu vizuri nikiwa jngwani hapo ndipo nilipoanza kuwa na ndoto mbali mbali,ndoto ya kwanza nilikuwa natamani sana kuwa msichana lakini mjasiriamali kama baba yangu.
Pia nilikuwa natamani sana kuwa kama oprah winfrey kwa sababu oprah alikuwa ana magazeti yake pamoja na TV talk show ambayo ilikuwa inanivutia sana ila zote hizo zilikuwa ni ndoto sikufikiria jinsi ya kufika hapo lakini ni vitu ambavyo vilikuwa vinanifurahisha,nikatoka hapo nikaenda shabaan Robert nilichukwa masomo ya HGL baada ya kumaliza nikafaulu vizuri na baada ya hapo wazazi wangu wakanipeleka South Africa chuo cha UCT University of capetown ambapo nilihitimu mwaka 2002 december.
Mwaka 2003 nikarudi Tanzania, nilitafuta kazi sehemu mbali mbali ikiwemo na marekani lakini nikaona kwamba nikienda nje ya nchi je nitaweza kutimiza malengo yangu niliyo nayo,nikaamua kubaki nchini nikabahatika kupata kazi Coca cola baada ya kufanya kazi Coca cola miaka miwili nikafungua kampuni yangu nikiwa na wenzangu wawili waliokuwa wananisaidia upande wa graphics ilikuwa inaitwa Rell...
pata intavyuu nzima


Hi Emelda
ReplyDeleteHatujapata Magazine since october what happening ??? hata x-mas hola au ndio ndoa
ni kumbukumbu zangu sio nzuri au yeye anatupiga changa la macho kuhusu shule alizo piata,
ReplyDeletemimi nilisoma jangwani miaka hiyo, sikumuona binti huyo hapo.
pia nilisoma Tambaza, hapo tulisoma nae , tena kama sikosei alisoma masomo ya science. sasa mbona anasema vingine.
anony Mon Jan 18, 01:57:00 PM, unatia huruma kwa kuchoshwa na vijimambo. yaani wewe wanafunzi wote waliosoma jangwani ulikuwa unawafahamu? ungesema umepitia kitabu chenye majina ya wanafunzi waliopitia shule hiyo miaka aliyoitaja, ningekuelewa zaidi.
ReplyDeleteMtu unatamani kuwa msichana wakati ni msichana tayari. Hii imekaa vibaya.
ReplyDeleteWewe unayesema Emelda alisoma Tambaza umechanganya na Rita.Adanganye elimu yake ili iweje?
ReplyDeleteKwa nini ana Kiswahili kibovu?
ReplyDeleteAliyesoma Tambaza ni mdogo wake Rita
ReplyDeletesio yeye na wanafanana sijui siku hizi baada ya kukua watakua wanatofautiana
Mdau bongo forever
Hata kama kaolewa potelea mbali, namtafuta huyu kimwana wa kinyakyusa.
ReplyDeleteSmile lake limenisuuza moyo!!!!
we annony Mon Jan 18, 01:57:00 PM
ReplyDeletemimi nimesoma jangwani kuanzia mwaka 1992 form 1p na tuliingia na kina emelda wao walikua form 1r au s michepuo tofauti na cookery na nidowork,form 3 yeye alikua p na 4p na kina ruth mbwanji dr.sasa serikalini
alipenda sana social tukifanya concert alikua akipeform nyimbo za kimarekani yeye na kina mirengenyi nyakilanganyi(aka mire yuko usa)yuko sahihi na huwa hajisikii hata kidogo mpaka kesho maana alikua na stutus sana jangwani na alikua anapenda kusoma novels.enzi za akina mama mkamati
hongera sana emelda ,hope you will fullfill your careers
mdau wa jasesco
NANI KAMUO EMELDA KIMYAKIMYA HIVYO?
ReplyDeleteMDAU PATRIC