
Ankal na Wadau,
Mchekini Haruna Moshi 'Boban' akila tizi akiwa na vlub yake mpya ya GEFLE IF ya Sweden. picha hii nimeitoa kwenye web yao pamoja na haya maneno ambayo hata maana yale sijui. Nilijaribu kusoma sasa hv nina majeraha ya ulimi. Boban alianza tizi nusu saa tu baada ya kutua Stokholm. Jamaa hawataki mchezo ni kazi kwa kwenda mbele
" Haruna ”Boban” Moshi från Tanzania är tillbaka i Gävle. Han anlände vid tvåtiden i går eftermiddag och bara en halvtimme senare deltog han i GIF:s träning på Strömvallen."
Mdau Fred
TAFSIRI:
ReplyDeleteHaruna ' Boban' Moshi kutoka Tanzania amerejea tena Gavle. Aliwasili majira ya saa nane jana alasiri. Nusu saa baadae alishiriki mazoezi ya GIF kwenye kiwanja cha Stromvallen. ( Stromvallen ni bonde la mkondo wa umeme).
Haya wadau, miye Mtanzania mwenzenu, kama kuna kibarua cha kutafsiri Kiswidi, Kidenishi na Kinorway tupigiane debe kama wafanyavyo wenzetu!
Maggid
Boban kama mdogo wetu na mtanzania mwenzetu tunakutakia kila laheri ktk safari yako ya kuing'arisha bendera ya taifa lako.Angalizo: NIDHAMU MDOGO WANGU...NIDHAMU MDOGO WANGU
ReplyDeleteNimeitranslate kwenye google na inasema hivi "Haruna" Boban "Moshi wa Tanzania ni nyuma Gävle. Yeye waliowasili o'clock mbili jana mchana, na nusu saa tu baadaye, yeye walishiriki katika GIF's Workout saa Strömvallen."
ReplyDeleteHaya Kilimanjaro, majeshi hayo yanazidi kuongezeka kutoka bongo, lakini mtakiona chenu summer hii, ile fluki ya mwaka jana mtaiota tu mwaka huu.
Mdau FC Bongo
Helsinki
Kwa mujibu wa Google Translator, maana ya hayo maneno ni:
ReplyDelete"Haruna" Boban "Moshi of Tanzania is back in Gävle. He arrived at two o'clock yesterday afternoon, and only half an hour later, he participated in the GIF's workout at Strömvallen."
MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
www.scholarshipnetwork.ning.com
San Diego, CA
Mbona yuko pekeyake?Imekaa kama ile picha ya Kajumulo miaka ya nyuma.
ReplyDeleteAnkal Michuxi tafsiri ya kile Kisweish ni hii: " Haruna ”Boban” Moshi from Tanzania is back in Gävle. He arrived the wide two time yesterday afternoon and only a half-hour latter participated he in GIF: s training on Strömvallen.
ReplyDeleteNimeipata toka http://www.stars21.com/translator/swedish_to_english.html
Siku mambo yote mtandaoni hata ukitaka kupika ugali na choroko we nenda google tu... Mdau, IC Remmy, Maynooth, Dublin, Ireland.
KWA KIINGEEREZA ANAMAANISHA Haruna "Boban" Moshi of Tanzania is back in Gävle. He arrived at two o'clock yesterday afternoon, and only half an hour later, he participated in the GIF's workout at Strömvallen.
ReplyDeleteTafsiri yake:
ReplyDelete"Haruna" Boban "Moshi of Tanzania is back in Gävle. He arrived at two o'clock yesterday afternoon, and only half an hour later, he participated in the GIF's workout at Strömvallen."
Tafsiri yake ni
ReplyDeletedespite wenye roho mbaya na wasiopenda maendeleo wengi wao wakiwepo Tanzania kutaka kumbania Boban asifike sweden lakini alifika jana mchana na baada ya nusu saa alijiunga mazoezini.
mdau
Hili Changa ,mbona yuko peke yake?picha za Nizar Halfani zilikuwa za mechi kabisa,ndo tunataka hizo.
ReplyDeletesawa sawa wana kijiji naona mnajitaidi kutasfiri kisvenskaaa.ookiiii senkyu
ReplyDeletemdau boxi 4 laifu
Kaza buti kijana, MAXIMO alie tu eti anasema we si mchezaji, MAXIMO arudi kwao akafundishe Mamiss wa Brazil hatumtaki kabisa hakufanya lolote, zaidi ya blabla tu kila siku hakosi sababu, tumemstukia
ReplyDeleteaachane na jina Boban!!
ReplyDeleteMimi sielewi kwanini kapachikwa jina Boban,si atumie jina lake ili afagiliwe kihivyo?Wenzetu wanajivunia majina yao,huyakuza na kuyaimarisha halafu sisi twajibandikia kama vile kuonea haya majina tuliyopewa na wazazi wetu!!Wewe kaka jitangaze kwa jina lako halisi sisi tutakusifia kwa kipaji chako si cha Boban mslavo!!
ReplyDeleteAnnete Cristiano Ronaldo mbona anatumia "Ronaldo" akiwa amepewa aka na dingi yake kwa ushabiki wa mcheza filamu Ronald Reagan na yeye analitumia tu bila shida?Kuna mchezaji wa Ghana alikua anaitwa Abedi Ayew maarufu kama Abedi Pele aliitwa Pele na ikawa shwari tu?A Ivory Coast wana mchezaji wao anaitwa Gervais Yao Kouassi lakini anatambulika kama "Gervinho" na kila mtu? So Haruna Moshi Boban kama kawa, au vipi?
ReplyDelete