Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Muhamed Seif Khatib akiangalia Mashine ya kugawia Umeme kisiwani Pemba Kulia meneja wa shrika la umeme pemba bwana salm masoud na kushoto ni afisa mdhamini wizara ya nishati na madini kisiwani pemba bwana January fussi Picha na mdau Ali Meja akiwa Pemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa unajitahidi kipindi hki kutembelea tembelea Zanzibar, kna uvumi kua unataka kugombea urais visiwani hko ila Wana CCM hatukutaki kabisa maana hna uchungu na Visiwa vyetu. Jaribu tu kugombea Ubunge huenda JK akakutoa tna.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...