Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Muhamed Seif Khatib akiangalia Mashine ya kugawia Umeme kisiwani Pemba Kulia meneja wa shrika la umeme pemba bwana salm masoud na kushoto ni afisa mdhamini wizara ya nishati na madini kisiwani pemba bwana January fussi Picha na mdau Ali Meja akiwa Pemba
Home
Unlabelled
khatib atembelea pemba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mheshimiwa unajitahidi kipindi hki kutembelea tembelea Zanzibar, kna uvumi kua unataka kugombea urais visiwani hko ila Wana CCM hatukutaki kabisa maana hna uchungu na Visiwa vyetu. Jaribu tu kugombea Ubunge huenda JK akakutoa tna.
ReplyDelete