Home
Unlabelled
kilele cha kampeni ya Fyatua Choo Ushinde leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MARA NYINGI NIMEKUWA NIKIONA BENDERA TA TANZANIA INAPOTUMIKA KAMA PAMBO ILE SEHEMU YENYE RANGI YA BULUU HUKUNJWA ILI ISIONEKANE, SASA SWALI LANGU NI JE, RANGI HIYO YA BULUU ILIWEKWA KIMAKOSA KWENYE BENDERA HIYO? PICHA YA JUU INAONESHA WAZI RANGI TATU, KIJANI, NJANO NA NYEUSI AMBAZO ZINATUMIWA NA CCM.
ReplyDeletewewe vipi unaagalia rangi za bendera mimi naangalia jinsi mawaziri wetu wasivyo na kazi sasa wanakagua vyoo vya watu..... ni aibu kuna watu mpaka leo hawajui kutumia choo. nenda dar es salaam international airport, after landing now you are at immigration counters unakutana na harufu ya toilet man its a shame. i remember those days when i was in our village we use to burn some leaves to make the toilets kunukia vizuri, sasa siku hizi tuna vitu kama air freshener nafikiri may be abiria huwa wanaondoka nazo (may be ) lakini my point the airport wanalipa pesa nyingi sana kwa wanaopata tenda za ku clean hizo toilet, do they do their job? au wanajaza tu watu airport na kufanya idadi kubwa ya wafanyakazi airport kuwa wengi and kuzidish wizi tu. enzi za mwalimu tulikuwa tunafundishwa kutumia choo and jinsi ya kukiweka safi and tungekuwa and hilo darasa mpaka leo kizazi cha leo sio cha kujifunza kutumia choo na waziri angekuwa na kazi nyingine ya kuleta maendeleo katika jammi yetu,
ReplyDeletewaziri hiyo ni kazi ya walimu wa msingi your job is make sure we have good hospital na dawa zipo with good doctors
mwelevu haambiwi, lengo la kuificha rangi ya buluu ni kuoneshakuwa mradi umegharamiwa na chama cha mapinduzi na si vinginevyo.
ReplyDelete