

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Masupu wewe ni mchokozi sana! naona unawatia watu majaribuni kwa kubandika hii picha "Ushindwe". Ninampenda huyu dada kwa kusema ukweli halisi wa maisha ya kiwanja!
ReplyDeleteMdau
samahani kaka michuzi huyu dada anatangaza BEN TV sio BET.
ReplyDeleteTumaini Geofrey Temu January 23 at 5:53am
ReplyDeletein this universe just wanna say hi , wanna you keep on doing the best of u for us
Sporah Njau January 23 at 5:57am
Thank you so much...
Tumaini Geofrey Temu January 23 at 10:33am
dont mention to me i have done nothing to ur sucsess it is ur self and God to be thanked who ever say withoutt him/ her u would not be there where he or she put God on that?
Sporah Njau January 23 at 6:40pm
Thants true.. thanks alot and God bless you
I WILL MAKE SURE MY TANZANIA WILL NO GO INTO THIS UKISASA NI HASARA KWA FUTURE UNAPOTEZA .YETU YA ASILI. PIA HIZI MBEGU HASA ZA MAZAO ZINA NIA YA KUTUFANYA TUWE WATUMWA MILELE NA TUAFANYA KAZI KWA UJIRA WA MLO MMOJA , MAANANA IKIFIKA MIAKA HIYO MBEGU ASILIA ITAPOTEA , SASA HIVI KAHAWA HUKO KWA BABU NI HISTORIA. HIZI MBEGU GMF VIMEO KWA VIZAZI VIJAVYO. LAKINI MAPROFESA WETU WAKISIKIA KUNA POSHO ZA SEMINA NA MAKONGAMANO WANAKUMBATIA MABOMU
ReplyDeletenjau!!! kumbe na wachaga wanavi figure vizuri hivi!!!
ReplyDeleteMithupu naona umebandika picha ya huyu dada inayovutia wawekezaji. tehe tehe he he
ReplyDeleteHizi mbegu za kilimo za kisasa ni njama ya wazungu ya kuhakikisha baada ya miaka kadhaa mkuliwa wa iringa hawezi kupanda mahindi mpaka anunue mbegu kutoka denmark, na mtu wa kilombero hawezi kupanda mpunga mpaka mbegu itoke canada.
Maprofesa wetu ni kanjanja tuu, uwezo wao wa kufikiria ziro, kama walivyo wanasiasa wetu.
Rais wetu kwa "photo opportunity" mpaka sasa ameanza kutu-"boa". Leo katembelea mtoto hospitali, kesho anamtwisha mwanakijiji ndoo ya maji; keshokutwa atakamua ng'ombe maziwa na wamasai, siku itakayofuata atabadilisha tairi pancha na utingo wa daladala ili mradi tuu wadanganyika ni watu rahisi kudanganyika namna hii.
Mkuu wa nchi, tunataka "substance" hatutaki "photo shoot" na blah blah blah.
Nchi yetu kama ingekuwa na viongozi wenye akili nzuri, uzalendo na ukweli, basi bandari zetu tuu zingechangia zaidi ya nusu ya uchumi wa nchi yetu. Tungeweza kuwa na bandari (Dar, Tanga, Mtwara)madhubuti zenye kufanya kazi bila mizengwe, na tungejenga miundo mbinu ya uhakika (reli na barabara) kiasi kwamba majirani zetu kama Rwanda, Burundi, Congo (eastern part(lubumbashi)); zambia na malawi wangelazimika kutumia bandari zetu. Hii ingehakikisha ajira ya kudumu kwa wananchi wetu. Tungelegeza sheria za biashara za mipakani na majirani hawa na hii ingekuza uchumi wa mipakani na pia ingesaidia kusambaza kiswahili kufika mbali zaidi ya nje ya mipaka yetu, na ingekuwa rahisi zaidi kuwaunganisha waafrika wa kutoka sehemu tofauti.
Kwa kuwa kiswahili kimeanzia kwetu hii ingetuwezesha kuwa na soko la kudumu la huduma kama muziki na sinema za kiswahili, na hata walimu wa kiswahili wangeajiriwa kutoka kwetu kwenda nchi jirani kufundisha kiswahili.
Tungekuwa na uchumi bora zaidi ya hawa majirani zetu na tungeweza kujijengea mazingira bora ya kuichumi na kimaisha ambayo ingeweza kuwafanya watu wengi miongoni mwa majirani zetu kutaka kuja kuishi Tanzania. Tungeweza kufanya "selective brain drain" na kuwachukua wataalamu wengi tuu kwa bei ya bure. Hii ingetuongezea "political influence" kwa majirani zetu na sisi ndiyo tungekuwa taifa kubwa la ukanda huu.
Lakini "mweeh" tuko bize kuimba "hepi besdei tuyu" na kuhamishia hazina ya nchi ulaya.
Kaka mi naomba maojiano yako wewe issa michuzu na huyu dada wa kichaga na naomba maswali yakiuchokozi tuuuuu.
ReplyDeletemtoto Kichwa huyu, mi nampenda sana.
ni kweli wachaga wako juu,loh sio mchezo bi, njau upo juu sana
ReplyDeleteUongo mbaya binti kaumbika...labda awe na miguu ya kichaga.
ReplyDeleteKaka i dont care kuhusu uzuri wa huyu dada, yes nimzuri so what??? watu waache kusifia uziri wa mabinti na kuangalia je AKILI WANAZO?? Maana hili ndio tatizo kubwa tunalo hapa Bongo, kabinti kakiwa karembo basi kanaonekana kwenye magazeti, kwenye mainternt at the end of the day uzuri wao hauwapeleki popote.
ReplyDeleteKweli huyu dada akili anayo ni mfano mzuri sana, embu basi watu waongelee juhudi zake na ubusara wake na sio umbo lake.. ili vijana wanaokua wajue uzuri sio kitu bali ni AKILI yako ndio inasifika.
Mabinti wa Kitanzania wooooote wamejaliwa kwa uzuri, lakini hayo mambo yamepitwa nawakati,wanaume wasiku hizi hawaangalii uzuri ila kichwani dadazangu.
We unaetafuta miguu mizuri angalia usije ukapotea mwaname AKILI na huyu dada anayo brovo.
Kaka acha uchokozi, ndo nini kututemt vijana wenzako!!!!
ReplyDeleteDuh