saini Kitabu cha Maombolezo huku Afisa Ubalozi Mrs. Matilda Masuka akishuhudia.
kutoka Idara ya Afrika Bw. Zhang Zhuqiang akimshika mkono wa pole Balozi wetu wa Tanzania nchini China, Mhe. Omar R. Mapuri. Nyuma ni Maafisa wa Mambo ya Nje waliofuatana naye.
cha China (CPC) akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo katika kituo chetu cha Ubalozi, Beijing – China, ikiwa ni sehemu ya kuomboleza kifo cha Mzee wetu Mhe. Rashidi Mfaume Kawawa, Simba wa Vita.
walifika Ubalozini hapo kuwasilisha salamu zao za rambirambi. Kutokana na watu kufika kwa wingi kumkumbuka Simba wa Vita ilibidi vitabu viwili vifunguliwe kwa pamoja kupunguza kero ya kuwafanya wageni wetu kusuburi kwa muda mrefu.
Kitabu cha Maombolezo huku Mwambata Fedha wa Ubalozi, Bw. Lusekelo Gwassa akishuhudia.
inana lillahi waina illahim rajiun kamfuata mwalimu watazungumza vizuri kuhushu muungano mshitakiye mwambiye kikwete anatanua nchini pamoja na amani karume
ReplyDeleteMIMI NAOMBA KALE KASHERAI CHA KUNYONGA WALA RUSHA TUU EPA INGEKUWA HISTORIA. MAMBO YA CHINA JAPANI
ReplyDelete