Home
Unlabelled
mapacha walioungana wazaliwa zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni mapenzi yake mola, Mwenyenzi mungu zilaze roho za malaika hawa pema peponi. wazazi jipeni moyo kila jambo laja kwa sababu. mwachieni mola atawafariji.
ReplyDeletepoleni mamamzazi na wafiwa wote. Mungu ni mkuu daima.
ReplyDeleteKaka michuzi Mungu akubariki kwa wema wako wa kutujuza yote ya nyumbani.
RIP poleni sana lakini mungu kaona watakuwa vizuri kwake sie wote tunapita njia tukielekea huko huko
ReplyDeleteRIP Mzee Kawawa + Mwalim JK Nyerere
Your names will live FOREVER
pole mama mzazi yote ni kazi ya mungu kaamua kuwachukua viumbe vyake mungu azilaze roho zao mahali pema peponi malaika zake!hawa wameungana vibaya ilikuwa tumbo kwa tumbo haki ya mungu,mungu mkubwa jamani!!!!inatia huruma sana!!pole dada yangu.
ReplyDeleteInnalillahi Wa Inna ilaihi Rajioun, Pole wazazi na hussan mama mzaziwa malaika hawa.Tatizo ni Umeme , kumekuwa na tatizo la Umeme Unguja na Hospitali kuu Umeme unawashwa kuanzia saa nne Usiku mpaka saa kumi na moja Alfajr na ni umemewa Jenereta.Pia mipango ya Mungu
ReplyDeleteRIP twins. Pole sana wazazi.
ReplyDeleteSio mapenzi ya Mungu! mambo mengi Mungu huruhusu yatokee ili tujue kuwa Shetani (Ibilisi) yuko na anafanya maajabu na yeye hufurahi watu wakimsukumia Mungu lawama na kusema kuwa ni mapenzi yake ili watu wazidi kumchukia Mungu na kumuona ni mbaya sana. Hata mafuriko na maafa mengi (ajali n.k) yatokeayo ni shetani tu hujidhihirisha na kumsukumia lawama Mungu kupitia watu waishio duniani. Tunahitaji kumuomba sana Mungu ili daima atufunike na Damu ya Uzima na Malaika zake. Laiti Mungu angeamua kutufunulia kila kitu tunachopishana nacho katika maisha yetu ya kila siku hakika tusingeishi. Ni mengi mno ametupitishia mbali ila siku ya kiama yatafunuliwa mbele ya wote wanaomuamini na kumtegemea. Nawakilisha tu.
ReplyDelete