wafanyabiashara wakishusha kago la ndizi soko matola mjini sumbawanga leo. bei ya mkungu ni kati ya shilingi 25,000/- na 35,000/- ikitegemea aina na saizi ya mkungu. maelewano yapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Natamani kweli nikiona ndizi hizo, asante kaka Michuzi kwa kuiweka hii.

    mdau Delhi

    ReplyDelete
  2. Ebitoke, ebitoke natamani sana, nakumbuka home Karagwe
    Mdau,, Malaysia

    ReplyDelete
  3. HAPA UK TUNAKULA NDIZI MBICHI KUTOKA JAMAICA, 10 TU NI £3 AMA TSH.6000 ZA MADAFU. WAKULIMA WETU WANGEKUWA MATAJIRI WANGEZILETA HUKU. HII KILIMO KWANZA IWE PIA KUTAFUTA MASOKO KWA WAKULIMA WETU SIO KUWAPA TENDA WAHINDI TU WATULETEE MATREKTA MABOVU.

    ReplyDelete
  4. Jamani maisha yamekuwa ghali sana siku hizi. In america ndizi ni cheap kuliko bongo.

    ReplyDelete
  5. kweli maisha yamekuwa juu jamani maana ni balaaa hapo nyuma ndizi tunanunua mkungu mkubwa buku jero sasa hivi lol


    meggie

    ReplyDelete
  6. Ndizi ni cheap america maana wanaziweka kwenye gas house, unakula ndizi za mwaka juzi, hazina utamu, kila kitu Amerika imejaa madawa, watu tajiri hawali
    chakula tunakula,ona iyo cancer amerika

    ReplyDelete
  7. nje vyakula ni sumu tuu,chakula kinakaa miaka 5 na madawa basi,sasa izo grin-hausi ndo kifo tu,na wanataka kutuua kwa kuleta mimbolea na seeds machemicals matupu

    ee Tanzania dumisha kilimo asili,,

    ReplyDelete
  8. nynyi mnaokula vyakula vya asili mbon hata ndege ya maboksi hamjawahi tengeneza?? achananeni na vichwa vya wazungu vina akili kupita maelezo wamevumbua kila kitu tunachotumia humu duniani hadi ukimwi ni wao hii mtu nyeupe hatari

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...