Home
Unlabelled
ndizi sumbawanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JEMBE ALIMTUPI MKULIMA
ReplyDeleteNatamani kweli nikiona ndizi hizo, asante kaka Michuzi kwa kuiweka hii.
ReplyDeletemdau Delhi
Ebitoke, ebitoke natamani sana, nakumbuka home Karagwe
ReplyDeleteMdau,, Malaysia
HAPA UK TUNAKULA NDIZI MBICHI KUTOKA JAMAICA, 10 TU NI £3 AMA TSH.6000 ZA MADAFU. WAKULIMA WETU WANGEKUWA MATAJIRI WANGEZILETA HUKU. HII KILIMO KWANZA IWE PIA KUTAFUTA MASOKO KWA WAKULIMA WETU SIO KUWAPA TENDA WAHINDI TU WATULETEE MATREKTA MABOVU.
ReplyDeleteJamani maisha yamekuwa ghali sana siku hizi. In america ndizi ni cheap kuliko bongo.
ReplyDeletekweli maisha yamekuwa juu jamani maana ni balaaa hapo nyuma ndizi tunanunua mkungu mkubwa buku jero sasa hivi lol
ReplyDeletemeggie
Ndizi ni cheap america maana wanaziweka kwenye gas house, unakula ndizi za mwaka juzi, hazina utamu, kila kitu Amerika imejaa madawa, watu tajiri hawali
ReplyDeletechakula tunakula,ona iyo cancer amerika
nje vyakula ni sumu tuu,chakula kinakaa miaka 5 na madawa basi,sasa izo grin-hausi ndo kifo tu,na wanataka kutuua kwa kuleta mimbolea na seeds machemicals matupu
ReplyDeleteee Tanzania dumisha kilimo asili,,
nynyi mnaokula vyakula vya asili mbon hata ndege ya maboksi hamjawahi tengeneza?? achananeni na vichwa vya wazungu vina akili kupita maelezo wamevumbua kila kitu tunachotumia humu duniani hadi ukimwi ni wao hii mtu nyeupe hatari
ReplyDelete