
Mkuu wa Wilaya ya Karatu Methew Sedoyeka akishuhudia makabidhano ya mashine ya kusaga iliyokabidhiwa na benki ya NMB kwa kikundi cha akina mama wilayani karatu kama msaada wa kuendeleza biashara ndogo ndogo wanazofanya kina mama hao. Kikundi hicho kimekuwa vile vile mfano mzuri unaorejesha mikopo kwa wakati kutoka benki ya NMB.
benki ya nmb iko mstari wa mbele katika kusaidia maendeleo ya jamii. kila siku tunaona benki hii inatoa misaada mbalimbali ikiwemo ujenzi wa mashule, wanatoa madawati, vifaa hospitalini na vile vile kwenye michezo wamo. hii benki inastahili pongezi. kinachotia moyo kuhusu hii benki kila panapotokea maafa wapo mbele kusaidia..nakumbuka mbagala disaster pia walikuwepo mstari wa mbele
ReplyDeletesafi sana nmb
ReplyDeleteakinamama ni walipaji wazuri wa mikopo
ReplyDeleteutaratibu wa kupatiwa misaada nmb ukoje shyrose?
ReplyDeletesafi sana hivi juzi tumeona wametoa msaada wa shillingi millioni kumi kule kilosa, na sasa wametoa millioni kumi zingine maafa ya same. NMB kweli inajali sana jamii inayowazunguka kwani hapa tunaona kabisa kwamba pamoja na kwamba benki inafanya biashara lakini tunaona pia japo kuna pesa ingine inawarudia jamii.
ReplyDeletejamani kusema ukweli NMB wapo juuu tena juuu sana,maana wao kila siku wanatoa misaada kwa jamii.Inabidi mashirika mengine yaige mfano wa NMB.
ReplyDeleteNMB OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
hii benki ni kiboko sijaona benki ingine inayofanya mambo ya kijamii kama nmb...ni kweli benki zingine zinatoa ila hawa nmb ni kiboko...kweli wako juuuuu muendelee hivo hivo ili wengine waige mfano wenu
ReplyDeleteMHE IBRAHIM MARWA, NAKUMBUKA HUYU ALIKUWA MMOJA KATI YA WABUNGE MACHACHARI SANA BUNGE LILILOPITA. VIPI KAKA UNARUDI ULIONGONI?
ReplyDeletebenki ya watu....
ReplyDeletekaka mithupu..BLOG YAKO IKO JUU
ReplyDelete