POLE SANA. RIPOTI YAKO KWA MWAKA
2009 IMETOKA! NA NI KAMA IFUATAVYO:-
KUOGA - D
WIVU - B
UVUMILIVU - F
ULEVI -A
UTU WEMA - C
KUKUBALIKA KATIKA JAMII - F
UCHONGANISHI - A
WIVU - B
UVUMILIVU - F
ULEVI -A
UTU WEMA - C
KUKUBALIKA KATIKA JAMII - F
UCHONGANISHI - A
KUBISHA KILA JAMBO- A
UPOLE - D
KUZURURA - A
KUJITUMA - F
MAPENZI - A+
KUROPOKA - A
KUSALI - F
UPOLE - D
KUZURURA - A
KUJITUMA - F
MAPENZI - A+
KUROPOKA - A
KUSALI - F
KUTUSI WENZIO KWENYE MABLOG - A++
UNACHEKA UNAFIKIRI MAZURI?
JIREKEBISHE 2010 HII.
UMEKUWA MTOTO WA 2 KATI YA WATOTO 81 KATIKA SKULI HII YA NIDHAMU. HUNA HAJA YA KUONGEZA BIDII. WEWE NI NGULI.
SHULE IKIFUNGULIWA NJOO NA UNIFORM MPYA,
KALAMU NA MADAFTARI MAPYA. USISAHAU UFAGIO WA CHELEWA...
Mdau A.KP
mama mbavu zangu wee
ReplyDeletehii special kwa wakaanga sumu kazi kwenu matokeo mabaya jirekebisheni acheni pumba fateni ya msingi ilikujenga jamii penye haki na ukweli kubalini sio kuona kil akitu kibaya nyie mmekamilika? Michuzi mola akupe maisha marefu unatustiri kweli na news mzee big up mwaka mpya mwema masupu original
ReplyDeleteLabda ungeongezea na walete madawati yao wenyewe. Bilioni moja ina shughuli nyingine.
ReplyDeleteSio vizuri kuwasema vibaya viongozi wakuu wa nchi. Safari za kikazi sio uzururaji.
ReplyDeleteDah aisee nimecheka mpaka nimepaliwa
ReplyDeleteExcellent report. Strong CV. Perfect candidate wa umasikini.
ReplyDeleteHi ni funga mwaka....
ReplyDeleteTnx Mithupuuu
happy New year
no. Huyu mtoto amekuwa wa 78 kati ya watoto 79 na huyo wa 79 alikuwa si mhudhuriaji mzuri katika hayo masomo..Happy New everybody..
ReplyDeleteMh! huyo mtu noma, but kitu kimoja, how com'z ana mi-A mingi hivo afu awe wa pili toka mwisho???? nafikiri wewe mwalimu unahitaji kutandikwa mifimbo kwa kutokuwa makini na kazi yako
ReplyDeleteTafadhali weka ufafanuzi kama A ni ushindi wa juu eg 10 out of 10 na labda F ni ushindi wa chini eg 1out of 10.Kaazi kweli kweli
ReplyDeleteumesahau kipengele cha ngono isiyo salama kaka michuzi,ni somo la lazima kama hisabati.
ReplyDeleteJamani hii ni kweli kabisa nimefurahi kuona kama watu wanauwezo wa kufikiria vitu kama hizi.Happy New Year wadau.
ReplyDeleteMwanafunzi huyu ni nani?:)
ReplyDelete(US Blogger)
Hii ni ripoti ya ankal mwenyewe!!! teh teh teh
ReplyDeletewadau naomba kueleweshwa nini maana ya ngono salama!!
ReplyDelete