Home
Unlabelled
salamu toka kwa wekundu wa msimbazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Simba Sc, huu ni mwaka wetu lakini tuuanze kwa nguvu na mikakati ya muda mrefu. Nashauri tujitahidi kufanya yafuatayo:
ReplyDelete1. Tuwe na website, itakayotutangaza na kuwezesha wanachama kujiunga online duniani kote.
2. Tuwekeze katika soccer academy
3. Tujenge uwanja wetu
heko simba.
Kampuni, Norway
Picha nzuri, Simba mmetoka kama klabu kubwa ya ulaya. Sasa picha hii tunataka iwepo ktk webusaiti rasmi ya klabu ya Simba haraka sana.
ReplyDeleteMdau
Mtani No.1
Tukutane Mapinduzi Cup......Yanga oyeeeee
ReplyDeletenipo mamtoni lakini klabu yangu ya kwanza duniani ni wekundu wa msimbazi, na ya pili ni wekundu wa Anfield. kwisha kazi!! lakini inaoneka mwaka huu nitachekea kwa wa msimbazi, kwa hawa wa hapa anfield mambo si mambo wala nini this year. david villa yani yuko kweupee kuja anfield tatizo mshiko wamarekani wetu hawa wabahiri kinoma
ReplyDeleteSafi saaaaana. sasa naomba tuwe na website.
ReplyDeleteMshabiki,
Finland.
SIMBA WANA WEBSITE SEMA HAITANGAZWI TU
ReplyDeleteNENDA WWW.SIMBASPOTCLUB.COM
IPO SIKU NYINGI TU
Hongereni sana wekundu wa Msimbazi kwa hatua hiyo ya kupiga picha kubwa.
ReplyDeleteLakini tununue kamera za kisasa za kupigia picha kwani hawa wachezaji (watu) wetu sura hazionekani sasa sijui ni kamera au mpiga picha ingawa yawezakana pia mimi nina matatizo ya macho.
Kwa mtazamo wangu quality ya picha ni mbaya, haipendezinadhani mnauwezo wakupiga picha bora zaidi ya hizo.
Ni hilo tu
FUNGUENI WEBSITE MSITUJAZIE NAFASI HUMU! KLABU KUBWA HAMUONI HATA HAIBU HAMNA WEBSITE!
ReplyDeletewell done Simba,huu kweli mwaka wetu mechi 11 point 33,sio mchezo.
ReplyDeleteSwali la kizushi mbona kadi yangu inachukua muda kupatikana.toka June 2009.
mdau wa Ipinda Lusungo Kyela.
a.k.a Nyumbani ni nyumbani.
Simba habari yenu kwisha kazi round ya pili. Mtajua kuwa maharage si nyama ni mboga ya majani. Yanga kiboko yao Umoja wa mataifa. Tumekuua ktk tusker tutakuzika mapinduzi na kukusomea hitima mzunguko wa pili wa ligi.
ReplyDeleteYanga oyeeeeeeeeeee