WEKUNDU WA MSIMBAZI SIMBA SC. WANATOA SALAMU ZA MWAKA MPYA KWA WANACHAMA NA WAPENZI WAO WOTE POPOTE WALIPO DUNIANI. UJUMBE: MWAKA WETU HUU, KAENI MKAO WA KULA



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hongera Simba Sc, huu ni mwaka wetu lakini tuuanze kwa nguvu na mikakati ya muda mrefu. Nashauri tujitahidi kufanya yafuatayo:
    1. Tuwe na website, itakayotutangaza na kuwezesha wanachama kujiunga online duniani kote.
    2. Tuwekeze katika soccer academy
    3. Tujenge uwanja wetu
    heko simba.
    Kampuni, Norway

    ReplyDelete
  2. Picha nzuri, Simba mmetoka kama klabu kubwa ya ulaya. Sasa picha hii tunataka iwepo ktk webusaiti rasmi ya klabu ya Simba haraka sana.

    Mdau
    Mtani No.1

    ReplyDelete
  3. Tukutane Mapinduzi Cup......Yanga oyeeeee

    ReplyDelete
  4. nipo mamtoni lakini klabu yangu ya kwanza duniani ni wekundu wa msimbazi, na ya pili ni wekundu wa Anfield. kwisha kazi!! lakini inaoneka mwaka huu nitachekea kwa wa msimbazi, kwa hawa wa hapa anfield mambo si mambo wala nini this year. david villa yani yuko kweupee kuja anfield tatizo mshiko wamarekani wetu hawa wabahiri kinoma

    ReplyDelete
  5. Safi saaaaana. sasa naomba tuwe na website.

    Mshabiki,

    Finland.

    ReplyDelete
  6. SIMBA WANA WEBSITE SEMA HAITANGAZWI TU
    NENDA WWW.SIMBASPOTCLUB.COM
    IPO SIKU NYINGI TU

    ReplyDelete
  7. Mnyama mkaliJanuary 02, 2010

    Hongereni sana wekundu wa Msimbazi kwa hatua hiyo ya kupiga picha kubwa.
    Lakini tununue kamera za kisasa za kupigia picha kwani hawa wachezaji (watu) wetu sura hazionekani sasa sijui ni kamera au mpiga picha ingawa yawezakana pia mimi nina matatizo ya macho.
    Kwa mtazamo wangu quality ya picha ni mbaya, haipendezinadhani mnauwezo wakupiga picha bora zaidi ya hizo.
    Ni hilo tu

    ReplyDelete
  8. FUNGUENI WEBSITE MSITUJAZIE NAFASI HUMU! KLABU KUBWA HAMUONI HATA HAIBU HAMNA WEBSITE!

    ReplyDelete
  9. well done Simba,huu kweli mwaka wetu mechi 11 point 33,sio mchezo.
    Swali la kizushi mbona kadi yangu inachukua muda kupatikana.toka June 2009.
    mdau wa Ipinda Lusungo Kyela.
    a.k.a Nyumbani ni nyumbani.

    ReplyDelete
  10. Simba habari yenu kwisha kazi round ya pili. Mtajua kuwa maharage si nyama ni mboga ya majani. Yanga kiboko yao Umoja wa mataifa. Tumekuua ktk tusker tutakuzika mapinduzi na kukusomea hitima mzunguko wa pili wa ligi.
    Yanga oyeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...