Home
Unlabelled
TBL YAKARABATI SHULE YA VIZIWI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh! hiyo picha imenikumbusha mbali. nilisoma hapo kati ta mwaka 94 na 2001. ilikuwa shule bomba enzi zile za miaka ya 90 kurudi nyuma. ilikuwa na mahusiano mazuri na shule za uk, ikiwepo exchange program ya kial mwaka. kabla ya kuja kuvurugwa na ufiadi Headmaster Mnyakusa mwenye Kipara. jamaa aliuza school buses mbili, pick up moja pamoja na kuifisidi misaada ya iliyokuwa inaletwa na wafadhili hasa Waingereza. hadi kupelekea kuwaudhi na kusababisha wakatye misaada yote ikiwemo ilie program kutembeleana shule za uingereza. enzi hizo ilikuwa mojan kati ya shule za kisasa jijini Dar kuanzia majengo hadi mazingira ikiwemo football ground ya kiwango cha juu.
ReplyDeletethanks TBL kwa kuikumbuka shule yangu ya zamani. nami now nipo California, USA naangalia uwezekano wa kufanya something kama shukrani kwa hiyo shule kwa kunifikisha hadi hapa nilipo.
Mdau Kinyasi
neno kiziwi linakubalika kweli?? watu wa kiswahili watusaidie
ReplyDeleteNadhani linaweza kukubalika, na nadhani ukisema shule ya wenye mtindio wa kusikia sijui kama ni kiswahili sahihi.
ReplyDeleteMdau wa US ni kweli taasisi nyingi zinapata wafadhili lakini sababu yaa uroho wa Tanzania wenzetu wanatumia mwanya kujisaidia wao na familia zao
Hongera TBL, Huu ni mfano mzuri sana. Kama kila kampuni ingefanya hivyo tunge kuwa mbali sana. Na dhani gharama haikufikia hata million 10. Asante TBL. Hii ni changamoto kwa kampuni zingine.
ReplyDeleteMdau wa kwanza nakubaliana na wewe shule ilikuwa inapata sana misaada na wanafunzi wote walikuwa wakipata opportunities za kwenda majuu nmikumi trip na beach. Kuna mama mmoja alikuwa anairan vizuri sana huko nyuma kama mwenyekiti. Gone are the days!
ReplyDelete