Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mr.Cool James Dandu(RIP)
    Mimi na James tulirekodi Sina Makosa hii 1999,katika Studio nzuri mjini Stockholm Sweden,alikua akija kututembelea kwenye Klabu"Star-Light"ambayo tulikua tunapafom ndio akatoa wazo ya project.

    Vocals by Bobo Sukari
    Guitars Accoustic by Vumbi Dekula
    Rap by Cool James
    /Mdau Vumbi Dekula Sweden

    ReplyDelete
  2. Huyu alikuwa ni Treasure ya Tanzania. Alikuwa miongoni mwa ma-artistes wakwanza kabisa kufungulia hichi Kiwanda cha muziki wa Pop Tanzania. Watu wengi walimpenda sana.

    kama ingekuwa ni UK, watu kama hawa hutuzwa Knighthood.

    Ushauri wangu ni kuwa jiji la dar litafute barabara ya maana na kuibatiza jina la Mtoto wa Dandu. Hii itakuwa ni bora kuliko wanavyofanya sasa hivi kutukuzana wana siasa tu, ambao wala hawaja-influence jamii kiuchumi wala kitamaduni.

    ReplyDelete
  3. THANK U SO MUCH MICHIZI FOR THIS VIDEO,
    DAIMA NA BLOG YAKO IBARIKIWE
    COOL JAMES RIP BRO

    ReplyDelete
  4. mdau wa pili hebu nidokezee ulichokula au kunywa hii leo, kweli alikuwa muimbaji mzuri, lakini sikubaliani kama angelikuwa mzawa wa uk angelipewa knighthood, hakufanya kubwa katika fani ya muziki kufika kuwa apewe u-knighthood. tena unataka tumuenzi kwa kubatiza barabara jina lake? are you serious? pole ndugu yangu!

    ReplyDelete
  5. RIP JAMES WE MISS YA SO MUCH. SWEDEN PAMEPOA TANGU UTUTOKE...
    LALA SALAMA MTANI WANGU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...