Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Haroun Ali Suleiman(kulia) akikabidhiwa vifaa vya shule na Mkurugenzi wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba(kushoto) kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari Jang’ombe ambapo mfuko huo wa kusaidia jamii wa Vodacom ulikabidhi madarasa 12 katika shule hiyo waliyokarabati kwa thamani ya shilingi Milioni 24.

Mwamvita,
ReplyDeleteYou just made my morning...You officially have the best job
in the world!!! Your occupation has combined the highest passions in my life, style,travel and giving back to the community. I hope to one day see the world in the manner that you have done. As a guy I find your pics inspirational and challenging. You give me insight on places in TZ that I wish to see one day!
Gosh! i'll says it, you are absolutely gorgeous, and your outfit just oozes class, style and grace. Love it (Hivi hao Voda wanakuwekea bajeti ya mavazi au?)
-secret admirer from the other side
xxx
Huu mdomo!! Du!!
ReplyDeleteHongereni Vodafone, May GOD bless you all.
ReplyDeleteJamani wenye uwezo tujitolee kuchangia maendeleo ya nchi kwani serikali peke yake haiiwezi hiyo kazi ndio maana Mungu akawapa baadhi uwezo na wengine hawakupata huo uwezo.
Ndugu zangu wa Jang'ombe mliwapa Vodafone zawadi ya Ngonjera au mliwabania maana kwa Ngonjera hamjambo.
Mdau TUMEKUJA SCHOOL.
Mambo mazuri lakini kuna swali nauliza mnaomba dua huku wanawake wapo vichwa wazi (tehetehe) sijui labda dua za kizushi maana kifiqhi hamna kitu kama hicho
ReplyDeleteBaniani mbaya kiatu chake dawa, si munaona RA anavyogawa fedha zake bila ya kutaka kupigwa mapicha kama manyangumi!!!
ReplyDeleteRA Admirer.