Home
Unlabelled
kilele cha kuadhimisha miaka 33 ya CCM leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
CCM IMESHAZEEKA KIUFUPI HIYO NI BRTHDAY?
ReplyDeletesikujua chama tawala kinaweza kula print ya puma na addidas. au hiyo brand ni kwa ajili mikubwa hapo juu....
ReplyDeleteMaadhimisho ya kuzaliwa CCM ni moja kati ya siku kuu ambazo wanachama na watanzania hujumuika kwa pamoja,kwa hiari na kiundugu kufurahia na kutafakari mapinduzi, maendeleo na ustawi wa jamii katika Taifa letu.
ReplyDeleteCCM itaendelea kujizalisha kimtazamo na kiutendaji ili kukidhi mahitaji ya Watanzania wengi kwa nyakati tofauti.
Mwenyekiti Kikwete tunayo IMANI nawe na tunaamini uongozi wako utaendelea kutoa DIRA sahihi ili kila mtu au idara itatekeleza na kusimamia majukumu na wajibu wake ipasavyo na kwa ubunifu yakinifu.
MAPINDUZI SI LELEMAMA.
Maina Ang'iela Owino
CCM UK
Swali la kizushi, hizo Adidas na Puma ni orijino kweli??
ReplyDeleteWALATOPE VIPI NA HAPO NAPO MBONA LEO HAMHOJI HAO WAZEE WALIOPIGA ZE JACKETIZ NA JOTO LENU LA BONGO HUKU NDANI WANA TSHIRTS PLUS JACKET ZENYEWE MATERIAL YA MPIRA ZINASHIKA JOTO KIAMA HIZO...ILA MKITUONA TUMESHUKA AIRPORT NA PULL NECK ZETU ZA COTTON AMBAZO HAZILETI VIKWAPA KAMA HIZO WALIZOZIPIGA HAO WAZEE HAPO JUU MNAONGEAAAAAA...TEH TEH TEH STOP HATING DUDES UGUMU WENU WA LIFE HATUKUUSABABISHA SISI MNAOTUITA WABEBA BOKSI HUKU EMAILS ZETU ZIMEJAA VIZINGA VYENU VYA DOLA MIA MIA...
ReplyDeleteNI HAYO TU MDAU MBEBA BOKSI WA KUDUMU...
mr presindent treksuit kwa mokas!naaa
ReplyDeletewee mdau unashangaa!??mbona ndo za JK izo alienda pokea kombe la dunia na mokasi na track
ReplyDeletenawewe mbeba box maalufu,,ovyo kabisa anza kuvua iyo mi-pulneck ndani ya choo cha ndege b4 kushuka DIA ovyooooooooooooooooooooo eti maisha "yenu ya shida" wee ulizaliwa mbinguni???
heeee uyu bi dada shosti upoooo???
ReplyDeletekazi kwelikweli,,,
jamani mmesikia ya rais Zuma kwa madiba alivoomba msahama???????
Hivi TANU INAMIAKA MINGAPI?
ReplyDelete