mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanaCCM wa mkoa wa Dar katika kilele cha kuadhimisha miaka 33 ya chama hicho leo viwanja vya mnazi mmoja zilizofuatia matembezi ya mshikamano yaliyojumuisha maelfu ya wanachama
Katibu Mkuu wa CCM Mh. Yusuf Makamba akiongea kwenye sherehe hizo

JK akisalimiana na wazee wa CCM wa mkoa wa Dar

JK akimsalimu mmoja wa watoto waliojitokeza kwenye sherehe hizo
JK akiagana na wasanii mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kwenye sherehe hizo leo
mfurukutwa wa CCM akiwa shereheni
msanii vicky kamata akitumbuiza kwenye sherehe hizo







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. CCM IMESHAZEEKA KIUFUPI HIYO NI BRTHDAY?

    ReplyDelete
  2. sikujua chama tawala kinaweza kula print ya puma na addidas. au hiyo brand ni kwa ajili mikubwa hapo juu....

    ReplyDelete
  3. Maadhimisho ya kuzaliwa CCM ni moja kati ya siku kuu ambazo wanachama na watanzania hujumuika kwa pamoja,kwa hiari na kiundugu kufurahia na kutafakari mapinduzi, maendeleo na ustawi wa jamii katika Taifa letu.

    CCM itaendelea kujizalisha kimtazamo na kiutendaji ili kukidhi mahitaji ya Watanzania wengi kwa nyakati tofauti.

    Mwenyekiti Kikwete tunayo IMANI nawe na tunaamini uongozi wako utaendelea kutoa DIRA sahihi ili kila mtu au idara itatekeleza na kusimamia majukumu na wajibu wake ipasavyo na kwa ubunifu yakinifu.

    MAPINDUZI SI LELEMAMA.

    Maina Ang'iela Owino
    CCM UK

    ReplyDelete
  4. Swali la kizushi, hizo Adidas na Puma ni orijino kweli??

    ReplyDelete
  5. WALATOPE VIPI NA HAPO NAPO MBONA LEO HAMHOJI HAO WAZEE WALIOPIGA ZE JACKETIZ NA JOTO LENU LA BONGO HUKU NDANI WANA TSHIRTS PLUS JACKET ZENYEWE MATERIAL YA MPIRA ZINASHIKA JOTO KIAMA HIZO...ILA MKITUONA TUMESHUKA AIRPORT NA PULL NECK ZETU ZA COTTON AMBAZO HAZILETI VIKWAPA KAMA HIZO WALIZOZIPIGA HAO WAZEE HAPO JUU MNAONGEAAAAAA...TEH TEH TEH STOP HATING DUDES UGUMU WENU WA LIFE HATUKUUSABABISHA SISI MNAOTUITA WABEBA BOKSI HUKU EMAILS ZETU ZIMEJAA VIZINGA VYENU VYA DOLA MIA MIA...
    NI HAYO TU MDAU MBEBA BOKSI WA KUDUMU...

    ReplyDelete
  6. mr presindent treksuit kwa mokas!naaa

    ReplyDelete
  7. wee mdau unashangaa!??mbona ndo za JK izo alienda pokea kombe la dunia na mokasi na track

    nawewe mbeba box maalufu,,ovyo kabisa anza kuvua iyo mi-pulneck ndani ya choo cha ndege b4 kushuka DIA ovyooooooooooooooooooooo eti maisha "yenu ya shida" wee ulizaliwa mbinguni???

    ReplyDelete
  8. heeee uyu bi dada shosti upoooo???

    kazi kwelikweli,,,

    jamani mmesikia ya rais Zuma kwa madiba alivoomba msahama???????

    ReplyDelete
  9. Hivi TANU INAMIAKA MINGAPI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...