bad card

Nabii wa Reggae hayati Robert Nesta Marley aka Bob Marley alizaliwa 6 Feb 1945 kule kijijini St.Ann, kisiwani Jamaika aka jah make yah!
Hakuna asiye jua kuwa Bob ndie super star wa kwanza ktuoka ktk nchi masiki kama zinavyiitwa nchi za dunia ya tatu! super star huyu ambaye jina lake aliwezi kusaulika kwa kazi yake iliyozaa matunda ya kueneza mziki wa reggae dunia,njia ambazo alizotumia ni gitaa, na kanda za kaseti aina C90 ambazo limepenyeza mziki huo katika mipaka ya kila nchi. mziki wake huo wa Reggae ulifika mpaka katika nchi za kiafrika kwa kupitia kanda za kaseti C 90 au C60.
Bob Marley kama leo angekuwa hai basi angesherekea siku ya kuzaliwa.
Je? leo hii tunateknolojia nyingi mbona wanamziki wengi wamekuwa wavivu kutangaza kazi zao? je tujifunze nini kutoka kwa marehemu Bob Marley?(RIP)
Mdau Jah Pipo
Hayati Robert Nesta alijitofautisha na wanamuziki wengi kwa kutoa nyimbo nyingi za kile alichokiamini. Ukiamini kitu ukakiimba wengine wanaweza kukiamini kwa urahisi kuliko ukiimba wimbo wa unachodhani watu wanaamini. Alitoa nyimbo nyingi lakini tofauti na wanamuziki wengi, nyimbo zake hazifanani na ukisikia nyimbo zake kadhaa basi hata ukisikia wimbo usioufahamu unaweza kuhisi ni Bobu. Aliamini katika dunia isiyo na ubaguzi (War), kujitegemea (so jah seh, get up stand up), umoja wa Afrika(Africa unite, Zimbabwe), kuhalalisha jani (easy skanking). Pia alipenda mapenzi (stir it up, she's gone).
ReplyDeleteUtafanya marketing kadri uwezavyo lakini kama unauza bidhaa feki za China kuna ukomo wa kuuza bidhaa zako. Lakini kama unauza bidhaa za kueleweka ni kiasi cha kuwaonyesha tu watu bidhaa zako nao wataichangamkia. Chema chajiuza.
Tunaruhusiwa kuvuta bangi siku hiyo???
ReplyDeletebila kusahau mjani
ReplyDeleteHands down, Bob is a true Legend.
ReplyDeleteMpambika
"Destruction of the poor is in their poverty. Destruction of the soul is vanity." Bob Marley
Kabla ya Bob Marley alikuwepo Jimmy Cliff ndie star wa mwanzo aliyeendeleza Reggae duniani.
ReplyDeleteBob Marley alipata umaarufu baada ya kufariki.
Na May 11 ina uhusiano gani na Bob Marley?
Kuna tofauti kubwa kati ya Jimmy Cliff na Bob Marley.Bob Marley anapendwa kwa sababu yeye alikuwa "true revolutionary rasta",freedom fighter(musically).Sikiliza lyrical contents za Jimmy Cliff halafu usikilize za Mzee mzima Bob...acha wee!."No more internal power struggle,We come together to overcome the little trouble,And soon we'll find out who is the real Revolutionaries(wewe unafikiri nani aliwakomboa wazimbabwe!).Halafu ipate hii,"until the color of a man's skin,Is of no more significance than the color of his eyes(WAR).Nampenda Jimmy lakini Bob's shoes are too big for him.
ReplyDeleteHakika Bob-Marley was the highest priest of reggae, ni kwamba hakuwa mwanamziki peke yake bali alikuwa mwanasiasa na alipeleka ujumbe wake kupitia muziki.
ReplyDeleteTofauti na watu wengi ambao Baba ni mzungu Mama mwesi wengi hujiita wazungu lakini Bob alisimama kwa mtu mweusi na ndio maana tutaendelea kumkumbuka daima.
(RIP).
wewe Jah People,jifunze vizuri kuandika kiswahili,au na wewe unatumia mmea kama hayati Bob Marley?Mziki ndio nini?hua wanaita Muziki,usirudie tena kutuandikia vitu halafu una post,soma kwanza kabla ya ku post, urekebishe makosa ktk uandishi wako.
ReplyDeletetrue leggae legends to have lived under the sun
ReplyDelete1. Hayati BoB Nesta Marle
2. Lucky Dube
baaasi, finish. hakuna mwengine ni hao tu na ni hayo tu.
HE WAS LIKE A MESIYAH WHAT HE SAID IS REAL AND WITH 5 YRS U WILL SEE ALL THOSE RIPING US EPECIAL MPS ANT ALL THOSE INTERNAL HAVE BAD INTETION TO THE SUCSSES OF OPPRESED PERISH WITH NATUAL MYSTICS
ReplyDeleteTZFORCHANGE
Yaani wee unaejiita "Mzee Kifimbo Cheza" badala ya kuandika kuhusu topiki ya Bob unaandika ujinga wa kukosoa kiswahili cha mtu.Wewe unasoma comments za watu kutafuta ugomvi!hide your foolishness acha ujinga na roho yako mbaya!.Bob Marley we love my brother!
ReplyDelete"We know you are a big tree and we are a small axe we gonna chop you down"!
ReplyDelete"We need another version and not another session" (Mix Up Mix Up)!
"In the eyes of the wise, the fool is size"!
"Until the philosophy which holds one race superior and another one inferior is finally distracted and abondened...and we know we shall win as we are confident in the victory of evil"
Mwanangu Robert Nesta Marley you were taken from us at such a young age (36). RIP
anon unayeuliza "May 11 ina uhusiano gani na Bob?" hiyo ni tarehe na mwezi Hayati Bob alipotutoka.
ReplyDeletehakika alikuwa Godfather of Reggae.
Anonymous no 6 labda ulikuwa hujazaliwa lakini kwa sifa zote Bob Marley hakuhusika na kuikomboa Zimbabwe.
ReplyDeleteIle nyimbo yake ya "Africans liberate Zimbabwe" aliimba siku ya kusherehekea uhuru wa Zimbabwe ambapo alialikwa na ndio kwa mara ya kwanza (nadhani na ya mwisho kwani alifariki miezi michache baadae) alikanyaga Afrika.
Mzee Kifimbo Cheza amenifurahisha sana. Kweli nyani haoni ku***le. Amekosoa maandishi ya Jah People wakati naye lugha inampiga chenga. 'Hua' ni ndege wengine husema njiwa. Bila shaka alitaka kusema 'Huwa' wanaita muziki. Isitoshe ameandika kwa kuchanganya lugha. "kutuandikia vitu halafu una 'post'"? Kulikuwa hakuna hata umuhimu wa kutumia neno la kigeni. Ukisema anatuandikia vitu tayari ujumbe unafika maana tunaviona "globuni" :).
ReplyDeleteHongera Jah Pipo kwa kutuletea kitu kisicho saulika!japokuwa mdau
ReplyDeleteKifimbo cheza,hana la kufanya zaidi ya kutia nuksi ktk heri.
watu kama kifimbo cheza wamekosa mtazamo wa mawazo safi..baadala vichwa vyao vimejaa utumbo na pumba