Home
Unlabelled
zenj enzi za mzee karume
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
du!ninao wakumbuka ni marehem komredi Abdulrahman Babu,pia namona rais mstaafu Mzee Aboud Jumbe
ReplyDeleteNimewatambua watatu tu hapo. Aboud Jumbe, Shanabi Mloo na Abdulrahaman Babu.
ReplyDeleteSisi sote tumegomboka, kwa ndugu...
ReplyDeleteKwandugu zetu walopotea, walooo..
Walopigania nchi yetu,makusudi..
Makusudi yakutugombowa, hatusaha..
Hatusahau maisha yetu, kwa roho...
Kwa roho zao zilopoteaaaaaaaaa!
Hao ndio waalimu wetu, walio...
waliokwisha kujitolea, nasisi...
Nasisi hatutarudi nyuma, sote mbele...
Sote mbele tutaendelea, kwaku lili..
Kwakulilinda taifa letu, muhanga...
Muhanga sote twajitoleaaaaaa!
WAPILI KUTOKA KULIA NI MAREHEMU ABRAHMAN BABU AMBAYE BAADAE ALIKUWA NCCR.
ReplyDeleteWa pili kulia mwenye masharubu ni Marehemu Abdurrahman Babu na wanne kutoka kulia ni Mzee Aboud Jumbe Mwinyi
ReplyDeleteMOHAMED BABU, MAKAME, JUMBE, KOMBO
ReplyDeleteNI TOKA KULIA KWENDA KUSHOTO WALIO KATIKATI WANAONEKA MWILI MZIMA
Wadau nimesoma tu wala sijawahi kuwaona kwa macho zaidi ya picha kwenye maofisi, dah, kwa mbali namuona Mzee Aboud Jube ooooh sorry sioni uzuri maana hili picha halina rangi na mmm sikuzoea hizi kwani mm ni mtoto wa tisini msaada jamani.........
ReplyDeleteHYD
ninaowafahamu mimi wa pili kutoka kulia ni marahemu abrahman babu na wa nne mwenye miwani sheikh aboud jumbe mwinyi.
ReplyDeleteKuanzia kulia kwenda kushoto wa kwanza ni baba yake nani hii, wa pili ni marehemu Abdulrahman Babu(Comrade) wa tatu ni Marehemu Sheikh Aboud Maalim na wa nne ni Sheikh Aboud Jumbe .
ReplyDeletemdau UK.
Kusema ukweli nimewafahamu watu wawili tu walovaa vimao nao ni Mzee Jumbe na Abdalhaman Babu wengine sipati picha.
ReplyDeleteMkuu, Umenikumbusha mbali sana, enzi za uzalendo. kijana wa zamani.
ReplyDeletealieva koti,kofia na shuka ni mzee Thabit kombo,then Aboud Jumbe
ReplyDeletechama chetu cha mapinduzi chajenga nchiiiii
ReplyDeletechama chetu cha mapinduuuzi chajenga nchi
nyerere aaah.. karume wanajenga nchi..
Anonym. wa 05:58 PM ahsante sana. nipo ughaibuni napiga BOX, huo wimbo umenikumbusha mbali sana ndg yangu. Enzi hizo nipo majeshi(JKT)mshapiga gwaride wakati mnatoka nje kabisa huo ndipo wimbo unapigwa, huku nyuma kabisa ya Kombania yupo kamanda anachagiza 'RINGA MPIGANAJI'. Dah, jamani naomba serikali ilirudishe jeshi.
ReplyDeleteMichu Thx kwa kumbukumbu kama hizi kwa kuchangia tu mwenye combat anaeimbisha ni Yusuf Himid na kutoka kulia kwenda kushoto wa pili ni marehemu Abdulrahman Babu wa tatu ni Marehemu Sheikh Aboud Maalim , wa nne ni Sheikh Aboud jumbe, wa tano ni Marehemu Mtoro Kingo Rehani na wa sita ni Marehemu Abdulhamid Twala.
ReplyDeletemdau Kizee cha long time .