Home
Unlabelled
DIASPORA 2 LONDON Agenda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tatizo ndio liko pale pale ubinsfi.... hii ingekuwa for the all Europe input yake ingekuwa kubwa zaidi kuliko UK peke yake.
ReplyDeleteHuku middle EU kuna watu wange na wanauwezo wa kuja ni one hour flight! balozi zingeshirikiana kuamasisha watanzania wa eu .. hii ingekuwa historical.
si upande ndege uje?
ReplyDeleteDuu! Michu kumbe umechomekewa kwenye mambo ya diaspora! Safi sana.
ReplyDeleteThis is just for you
ReplyDeleteNilikua nasoma hapo juu kwenye blog yako sijui le o ndio umeweka au ilikua hapo sikuzote lakini leo ndio nimeona mimi......
Advertise here at cheap price doesn't make sense.
Labda ungesema 1. adrvertise here at verly low prices. 2. advertise
here at low prices. 3.low cost advertising here....
Watu wanaotafuta deals ndio wanasema tunatafuta cheap deals...lakini wewe unayetangaza biashara yako huwezi kusema cheap price....Cheap means something with no value/quality. Na wewe unawawekea watu matangazo yao kwa quality ya 100% ....
Siku njema
mimi niko nje lakini sielewi hii ndo nini sijui Diaspora?!
ReplyDeleteAafuu wewe ndo nini kwenda vekesheni huagi?!
Diaspora are people who are moving and scattered around the world away from their homelands constitute diasporas. Diaspora is a word used for people groups that are displaced from the lands of their origin or even cities of their origin, for example CHINGAS in Dar we could call them diasporians from Mtwara. Diaspora they maybe are refugees, immigrants, migrant workers, international students, diplomats, documented migrants, undocumented migrants = WAZAMIAJI. However, many if not most of the people who scattered around the world will not necessarily be displaced from their beliefs and cultural characteristics. They take them with them wherever they go, just as you and I would do with our beliefs. That is why there are these meeting and conferences. Origin of the word is a Greek word [διασπορά = "a scattering], and intial used for JEWS only.
ReplyDeletemnapoteza hela bure hawarudi bongo hao....halafu we anon wa prices na cheap kwani lazima uweke public that mistake si ungemtumia email michuzi mwenyewe moja kwa moja
ReplyDeleteinaendeshwa kwa kizungu au kiswahili?
ReplyDeleteLEO ni tarehe 24/3
ReplyDeletemnasema senior chait to be confirmed kwa ajili ya 2/3 - AIBU
tarehe inasema mara 27 february kwa mliyotuma kwa kaka Michuzi - HAMUWEZI EDIT KABLA YA KUJIAIBISHA
INASIKITISHA SANA JINSI TUNAVYOJIPELEKA BADILISHENI TAREHE HIYO KAMA MNA POSTERS
MICHUZI NAONA UTAKUWEMO HUMO HONGERA LETA KAZI KWA WANANCHI WA NJE
Jamani kuanzia saa mbili asubuhi, huku kwetu 'wabeba box' ngumu sana kupata ruhusa,vikao vijavyo huko usoni vifanyike jioni ijumaa na jumamosi kutwa nzima.
ReplyDeleteMdau
Daktari Bingwa
London
annon "dktari bingwa-london"
ReplyDeleteumeniwacha hoi
no permission hahahahahaa box hizi?
Wapiga boksi kwa mwaka wana likizo za siku kumi tu. kutumia siku hizo kwenda kwenye kikao cha diaspora hailipi.
ReplyDeleteTO: DIASPORA FACILITATORS:
ReplyDeleteFROM:
MTANZANIA, MWANADIASPORA WA UK, MWANACHAMA WA CCM:
YAH: AGENDA YANGU BINAFSI
AGENDA:
VYAMA VYA SIASA UGHAIBUNI
HOJA:
KUPIGA MARUFUKU VYAMA VYA KISIASA UGHAIBUNI NA VIONGOZI WAKE WAJIUZURU NA KUITISHA MIKUTANO MIKUU KUVUNJA MATAWI YOTE MARA MOJA.
WAKITAKA VYEO VYA KISIASA WARUDI NCHINI KWENYE MATAWI YA VYAMA.
MSISITIZO HUKU NI KUUNDA JUMUIYA ZA WATANZANIA.
UHAHALALI / JUSTIFICATION:
VYAMA VYA KISIASA VINALETA UBAGUZI NA HIVYO KUFISHA NGUVU ZETU KAMA WATAZANIA TULIOKO UGHAIBUNI KUTOA MCHANGO WA PAMOJA KWA AJILI YA MAENDELEO YA NCHI YETU.
AIDHA INALETA KASHIFA ZISIZO NA MSINGI KWA BALOZI ZETU MAANA WANATAKIWA KUWAHUDUMIA WATANZIA WOTE NA SIYO VYAMA VYA SIASA!
DIASPORA LAZIMA IWE NA NIA MOJA, NA MWELEKEIO MMOJA. ITIKADI ZA VYAMA HAZIWEZI KUWA NA MWELEKEO MMOJA!
HALI YA UK IKIENDELEA HIVI TUTAKUWA TUNAANGALIANA KUWA NI MWANACHAMA WA WAPI ANALETA HOJA GANI NA TUTAANZA KU-'POLITICIZE' KILA KITU CHA MAANA JAMBO AMBALO NI HATARI KWA UMOJA WETU WA DIASPORA.
TUTAONANA UKUMBINI.
MWANACHAMA WA CCM- UK
Hongera kwa watayarishaji - Wengine tungependa kufahamu kama kutakuwa na chochote wakati wa Lunch break au tufungashe sandwich!!!
ReplyDelete