Ankal,
Tafadhari post hizi scholarships kwa wadau.
Anayetaka kuomba abofye link hiyo
hapo chini na afuate maelekezo

Asante.

http://www.fordifp.net/AboutIFP/WhoCanApply/tabid/64/language/en-US/Default.aspx

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Unajua Michuzi UNAKERA sana tunapokuta hizo "LINK" hazipo active.

    ReplyDelete
  2. Mdau aliyetoa maoni hapo juu amekosea sana, huwezi kumwambia mwenzio anakera sana jaribu kutumia hakima katika kukosoa, copy hiyo link kisha fungua page mpya itafunguka, nasema hivi ninauhakika itafunguka mie ndio naangalia sasa hivi.

    ReplyDelete
  3. Kwa faida ya wengine.. kwa hapa Tanzania hii scholarship huwa inasimamiwa na Economic and social Research Foundation (ESRF) ofisi yao ipo maeneo karibu na Victoria, ila deadline ya kutuma maombi kupitia ofisi hiyo ilikuwa 16 Februari 2010. Angalia: www.esrftz.org/ifp/announcements_2010_11.asp

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...