Home
Unlabelled
JK azindua kitabu cha sir george kahama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tanzania elites enjoying the show.
ReplyDeleteMichuzi tafadhali tufahamishane jinsi ya kupata kitabu hiki. Kwa sisi wadau tuliopo Ughaibuni. Shukrani
ReplyDeleteKaka michuzi hiyo tittle ya Sir kwa Mzee Georgr Kahama ni ya utani sio kitu official na ilikua utani wa Mwalimu Nyerere kwa rafiki yake huyu,ukiitumia bila ishara ya inverted comas wananci wanaweza fikiria ni ya kweli,mtanzania pekee aliyetunukiwa hadhi hii ni Sir Andy Chande tu
ReplyDeleteHongera Kahama kwa kutupa historia yako na ya nchi yetu ktk kitabu. Tunasubiri vya wengine
ReplyDeleteHiyo historia iandike kila kitu kuhusu huyu "mheshimiwa".
ReplyDeletePamoja na matatizo mengi tuliyonayo it is encouraging to note that a new culture is emerging in our country. A progressive culture which appreciates education and documentation of our important milestones.
ReplyDeletediaspora meetings in the UK is one such good manifestations of a new praiseworthy trend.
Once a culture for respect and honour for all our people becomes a cornerstone of our civilization, we will be well on our way to Glory as a People!!
Pentecotal Preacher!
Tunaona mizungu ya mambo leo:
ReplyDelete1: Mwanao anawezaje kuwa biographer wako? Unapoandika historia ya maisha yako ni kama kuandika shajara. Kwenye shajara mwandishi huandika matukio ya kweli ya maisha yake. Kuna matukio ambayo huwezi kumwambia mwanao. Kwa mfano, Sijui utawezaje kumwambia mwanao kwamba "Mama yako alikuwa housegirl wangu halafu nikamuoa!" Au "Mimi nilikuwa informer au spy wa mataifa ya magharibi wakati wa siasa za vita baridi".. etc etc.
2: Mzee Edwin Mtei naye ameandika autobiography yake akaizundulia Idara ya Maelezo. Vipi hii ya Mzee Kahama ikaenda kuzinduliwa Ikulu mbele ya Marais watatu?
Anyway pengine miye ndiyo wa ajabu kuona haya kuwa maajabu.
HONGERENI FAMILIA YA KAHAMA, NYIE KILA WAKATI MPO JUU TU. ILA JOSEPH MFUNDISHE MKEO KUVAA BORA AJATOKEA HAPO NINA IMANI ALIVAA KITUKO. MBONA WE SMART KILA SIKU HALAFU MKEO ANAVAA KAMA HOUSE GIRL. NA ASHUKURU MUNGU NI MWEUPE VINGINEVYO SIJUI INGEKUWA VIPI NA KULE KUJIKODESHA SANA SIO SIFA, KUNA WEMBAMBA WA KIASI LAKINI WAKWAKE MBAYA, TENA SIKU UKIKUTA KAVAA SKETI YA KUMSHIKA BORA HATA YALE MAVITENGE YAKO. MWAMBIE UJUMBE UMETOKA KWA CLASS MATE WAKE WA ZANAKI. NANCY SIKU HIZI UMEACHA KURINGA NA DHARAU? BADIRIKA MATE
ReplyDeleteGood Joseph!
ReplyDeleteIt is encouraging to see some Tanzanians taking their time to write about the people who made it all happen...and Sir George Kahama is one of them.
Who is next?
Eti wa nne kushoto! kwa nini tupotezeane taim kwa kuhesabu watu wote katika hiyo foto? si useme tu wa pili kulia? ndo mana bongo haitasimama kamwe. Unywanywa tu kila kona!
ReplyDeleteKazi nzuri ya kuweka historia katika vitabu. Kama nilivyompa pongezi Mhe 6 hapo juu, nimefarijika na kufurahia sana suti ya JK - ni nzuri sana na ninajiuliza kwa nini huwa anang'ang'ania misuti ya tai! Jamani suti ya kiBongo ni nzuri na inatutambulisha kama waTZ ndani ya utandawazi. Haipunguzi kitu. Ubaya ni pale tunapovaa ngozi ya 'wenzetu' lakini tukafanya madudu yetu yale yale. Make it your trademark JK in your 2nd term!!!
ReplyDeletemtaalamu wa social skin
Michuzi tafadhali rekebisha title ya Sir George Kahama the only person alie tunukiwa hio heshima na Malkia Tanzania ni Sir Andy Chande. Sawasawa na kumvisha kilemba cha ukoka Charles Njonjo wa Kenya kumwita Sir Charles. Cheo hicho bwana Michuzi hakitoki kama maembe sokoni!!
ReplyDeleteKWANZA KABISA WATU WANAOSEMA KAHAMA HAKUPEWA HESHIMA YA SIR NA QUEEN, EBU JUNGUZENI ILIANZAJE HII SIR. UKWELI NI KWAMBA ALIPEWA NA QUEEN, NA KITU ALICHOPATIA HUO U-SIR NI KWAMBA ALIKUWA MTUMISHI SERIKALINI TOKA ENZI ZA WAKOLONI NA ALIKUWA KWENYE BUNGE LA WAKOLONI LA WAKATI HUO NA NI MTANZANIA ALIANZISHA MAMBO YA CO-OPERATIVE TANZANIA NA YAKAFANA SANA TANZANIA NZIMA BUKOBA IKIONGOZA NA KITENDO HICHO NDO ALICHOPEWA HUO U-SIR NA QUEEN, SO NI RASMI NA OFFICIAL FUATILIENI HILI NA MTALIONA, SIO OOOH NYERERE ALIKUWA ANAMTANIA!
ReplyDeleteCo-sign Mbagumbangu
ReplyDeleteCheo cha Sir mpaka malkia akupe sasa wenzetu lini walipata au sababu jina ni kubwa??? mmmh Sir Michuzi mbona hivi tena?
sir ze fulanazz ipitishweeeeeeeee
ReplyDelete@ Tarehe Sat Mar 27, 03:13:00 PM, yani u so ignorant n comment is pathitic..kuna watu they have close relationship with there kids n who knows u better than ur family...yani wewe kwanza ur mfano tu shows how much shallow minded ur...
ReplyDelete..well looking forward to readind the book
@ Tarehe Sun Mar 28, 12:11:00 AM, before u comment do ur research siyo mpaka malkia akupe http://en.wikipedia.org/wiki/Sir
ReplyDeletethat link should help u