

itembelee hapa http://www.mohammeddewji.com/blog/
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safii! mpaka kwa mara ya kwanza leo nimeona bodigadi wa Rais katabasamu...nilidhani hawaruhusiwi kutabasamu.
ReplyDeleteMdaku
"THAT IS GOOD,VERY GOOD OUR DEAR PRISIDENT JK".PLS KEEP IT UP!
ReplyDeleteKatika gazeti la HabariLeo (3-11-2010) walitundika picha hii hii na hisani wakazisogeza kwa Mroki Mroki. Ni nani kati ya Mroki na Mo anastahiki kutambuliwa kuwa mwenye hakimiliki ya picha hii?
ReplyDeleteUkiwa kwny vyeo vikubwa vikubwa sometimes unamiss kama vitu hivyo vya kupiga picha, au hata kujichanga kwny bar za uswahilini sehemu km manzese au kkoo kwny kuchagua vitu kama mitumba au vitu vinavyotembezwa na machinga. Sometimes mtu ukiwa raia wa kawaida halafu mshiko upo sio siri unaweza ku-enjoy na kuwa huru zaidi kwny kujichanga hata kwny miziki. JK Zoom kidogo.
ReplyDeleteMdau Chimbachimba
Du! Maro kibarua chako kiko matatani.
ReplyDeleteKumbe mzee anavipaji vingi?
DU Obama kamuiga Raisi Wetu Raisi wangu ni Black.
ReplyDeleteJamani naomba kuuliza, hivi kwa nini wakati mtu unataka kupiga picha kwa camera kama hiyo ya Obama au JK unafumba jicho moja? na kwa nini style hii haitumiki mtu akitumia Digital Camera? naamanisha ukitumia digital camera hakuna haja ya kufumba jicho moja na cha ajabu zaidi hata mtoto hata bila kuambiwa afumbe jicho moja anafumba ili achukue taswiraz. Najua Ankal analo jibu ya kutosha maana ni Bobez katika anga za makonoz!
ReplyDeleteMdau wa Kudadavua!
Hongera-Kwani Patrick Tsere sasa Balozi
ReplyDeleteMdau wa 02:17:00
ReplyDeleteInategemea digital camera gani unatumia..kama unatumia hizi camera za SLR...nyingi bado unatumia jicho moja kuangaali.Ila zile za wenzangu na mie za dola 100-150 bado hazina pakuchungilia.Hizi kamera pia zinategemaea na aina na mikogo mingi iliyopo.Hizo kamera walizoshika ndio za akina Michuzi,Maro,CNN na wengineo.