Mfumo mpya wa Jumuiya ya Watanzania UK & RoIreland umekamilika. Mfumo mpya unahitaji chama kianze kujengwa kutoka jumuiya ndogo-ndogo katika maeneo tunayoishi na kushiriki, na kiendelee kukua na hatimaye kifikie ukubwa wa mji/mkoa/jimbo kama ilivyoelezwa katika Katiba mpya.
Viongozi wapya wa Jumuiya watatokana na wawakilishi watakaochaguliwa kikatiba katika miji/mikoa/majimbo. Tafadhali angalia "Utaratibu wa Uchaguzi". Pia angalia viambatanisho vingine viwili vinavyohusu uchaguzi na Diaspora.
Wana-jumuiya wa London tunatakiwa kujihamasisha na kutekeleza shughuli za uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya wa London, ili pia tuchague wawakilishi wetu kwenye Mkutano Mkuu, ambao watagombea kuingia kwenye Kamati Ya Utawala ya Kitaifa, na kuwa na nafasi ya kugombea nafasi za Uongozi za Kitaifa.
Unakaribishwa katika mkutano wa kuchagua viongozi wa ngazi za mji, pamoja na kuchagua wawakilishi wa London kwenye Mkutano Mkuu. Mkutano wa uchaguzi wa London utafanyika Jumapili tarehe 14 march 2010, Kuanzia saa Tisa mchana ,Tanzania House , No 3 Stratford Place, London W1C 1AS
Tunaombwa sana tuzingatie muda, ili kuwezesha mkutano kuendelea bila kuingiliwa na wale watakaochelewa, mlango utafungwa baada ya mkutano kuanza. Hivyo tafadhali fanya
hima uwahi.
Kwa mawasiliano na ufafanuzi zaidi wasiliana na Bi Mariam 07770910901, 07908010344 au kwa barua pepe:

uniting-communities @yahoogroups. com.
Kwa habari zaidi tembelea tovuti :
www.tzcommunity.co.uk
Lakini pia kutakuwa na mkutano wa Diaspora II, utakaofanyika London tarehe 26 Machi na kuendelea 27 Machi. Watanzania wote wanakaribishwa kuhudhuria Diaspora II, ili kupata fursa ya kuhudhuria unatakiwa kujiandikisha kwenye tovuti ya Ubalozi:

http://www.tanzania-online.gov.uk/web/

hongereni sana ila mhakikishe mnarudi tz kupiga kura kwenye uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais..KJ lazima ashinde kwa kishindo kikubwa
ReplyDeleteHilo neno mikoa/miji linapoteza maana.How come Wales na Scotland ziwe mikoa/miji sawa na Slough ilhali the two are nations.Angalau mngetumia neno TAWI badala ya mkoa/mji.
ReplyDelete