ENG No. 4D56,
Colour Red/ Sliver,
In Good Running Condition
Mileage: 138000
Already in Dar!
bei 22,000,000,
Maelewano yapo kwa aliye serious
mtu anaweza kuwasilina na mimi mwenyewe
kwa number +447974004624
au kwa email yangu
au mama linda
0715449080 or 0784449080.
Michu ninatafuta gari kama hii ila sitaki kuingia kwenye negotiations straight. Ninaomba muuzaji aweke wazi important information.
ReplyDelete1. Which year of manufacturing?
2. How many Kilometers/ Mileage did it travelled?
Natanguliza shukrani
Wow,
ReplyDeleteThat sounds too much to me...!!!
What is the milleage on it..???.
Is it in Tz or Uk for now..???.
Good luck by the way.
Dada uliweza vipi kuisafirisha na namba za UK? Mimi ninavyofahamu huwezi kuisafirisha gari na namba za nchi nyingine....
ReplyDeleteninachoweza kukusaidia ni kuwa hiyo gari ni ya 1992,plate number yake inaonyesha....J ni 92, k=93,l=93/94
ReplyDeletem=95,n=96,p=96/97,r=98,s=98,t=99,v=99/2000,w=99,2000,x=00,01 and y ilimaliza 01 mwanzoni,then zikaanza system nyingine eg AA02=2002 etc,mimi uzoefu wangu wa hizo mitsubishi kwahio bei unapata ya mwaka 2000-2003,lakini sijui hio ya jamaa in detail,michuzi please toa hii comment natumaini itawasaidia wengi kujua gari ni ya lini(uk) wakiona plate namba kama nilivyoorodhesha hapo juu
usitake ncheke
ReplyDeleteYote hiyo jamani? Hivi pesa ya Tanzania haina thamani kiasi hicho? hiyo si ni sawa na US$16300 hivi? Sasa mbona ni nyingi mno au mie ndo sijui matumizi ya hela ?
ReplyDeleteUlieuliza iko tz au uk,muuzaji amesema iko Dar! Nadhani umeangalia picha...
ReplyDeleteHow many Kilometers/ Mileage did it travelled?
ReplyDeletejamani bora tuandike kiswahili tu!
TUMIENI KISWAHILI, HII NI BIASHARA SIO KUONYESHANA UBINGWA WA LUGHA HAPA. MIMI NATAKA KUNUNUA LAKINI SIJUI INGILISHI INA MAANA MUUZAJI NI MZUNGU NITAFUTE MKALIMANI?
ReplyDeleteNadhani ni muhimu kuwa na fundi anayeweza kukusaidia kupata uhakika wa gari hiyo kabla hujatoa mamilioni hayo.
ReplyDeleteGari inaonyesha ni tolea la zamani na mileage ni juu kutosha, sidhani kama gharama iliyoonyeshwa inawiana na picha ya gari ninavyoinona
Wabongo bwana,jamaa anauza gari lakini mijitu mingine inatoa comment za ku-discarage mnunuzi,Nyie mnao-dis mmewahi kutuma gari bongo? reg ya hii gari bandarini wanakutwanga kama milioni mbili na nusu hivi za uchakavu,bado importy duty,excise duty,VAT,Port charges,shipping line alafu upitilize siku tatu au nne za free storage wanakukamua si chini ya milioni mbili na nusu,wakati mwingine huwa yanakataa invoice ya gari alafu wanavalue gari kwa jinsi wanavyojua wao hapo mjomba unaweza lia.
ReplyDeleteUSHAURI -TEMBELEA www.gariyangu.com BEI WATAKAYOKUPA HAPO IFANYE NDIO MINIMUM BUDGET YAKO,BEI INAWEZA KUONGEZEKA ZAIDI YA NUSU YA BEI ULIOPEWA HAPO.
WANAOACHA MAGARI BANDARINI SIO MAKOSA YAO.
ZINGATIA ILI BAADAE USIJELIA ALAFU KAMA HUNA HELA YA KUONGA KWENYE KILA DESK UNALOPITA,BASI NUNUA KIATU KIPYA CHENYE SOLI KUBWA NA UWE TAYARI KWA KWENDA RUDI KWENDA RUDI........
mh...jameni, hili ni gari la maximum 2,500 pounds likiwa UK, lets say 6000 usd cif dar es salaam, na taxes kama 5m, so ni kama 13.5 likiwa mtaani dar es salaam, kuliuza atleast 9m more nafikiri ni over pricing,halali yake ingekua ni kama 15-16m maximum,..
ReplyDeleteTATIZO LINAWEZA KUWA UKIRITIMBA WA TRA NA BANDARI NDO MAANA BEI INFIKIA HAPO ILIPOFIKIA LAKINI HIYO GARI NI NZEE SANA EMEZUNGUKA DUNIA ZAIDI YA MARA KUMI KWA HIYO NAMBA YA 138000. BEI YA KUNUNULIA UNAWEZA KUPATA SI ZAIDI YA £3000 = TSHS 8,000,000 SASA UPUUZI WA TRA NA BANDARI INAFIKISHA HUKU ALIKOTAJA LAKINI NI BEI KUBWA TUSIMLAUMU YEYE TULAUMU UTENDAJI WA SERIKALI YETU, NA PIA BANDARINI KAMPUNI YA KUTOA MIZIGO INA HISA ZA VIGOGO NDO MAANA WANACHELEWESHA MIZIGO ILI KUPATA PESA. UNWEZA KUPATA HIYO GARI KWA £1500
ReplyDeleteanony Tue Mar 16, 09:43:00 PM unayo mangapi?
ReplyDelete