Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Huyu ndio mzee wa matangazo ya FATAKI haha. hivi ndio vitu vya kusikiliza. Pazi

    ReplyDelete
  2. Sound ni nzuri, video shooting nzuri, ujumbe ni mzito na umebeba ukweli (hii ndiyo hali halisi), pia sehemu mlishoot hizo video zimeenda vizuri sana na huu ujumbe. Kazi Nzuri, hongera sana.

    Mdau, ughaibuni.

    ReplyDelete
  3. Kazi kweli ipo!!! Namba Mjomba Kikwete atoe nauli haraka sana.

    ReplyDelete
  4. Ebwana michuzi naomba nipelekee salam zangu kwa mrisho mpoto. yani huyu jamaa mistari yake inatisha.Alafu nimepata hapari kutoka China kwamba harusi yake ilikuwa yakufa mtu. Wagema wa mnazi kutoka kigamboni waliwalaza watu kwenye mitaro. Mi naomba anko Mpoto kama una clip ya harusi turushie kwenye globu ya jamii ili tuweze kufaidi kwa macho!!!
    Uko juu Mrisho!!! Kila kukicha afadhali ya jana!!
    Mdau
    Washington

    ReplyDelete
  5. Hii kitu imetulia sana.... haya heitaz kazi kwenu

    ReplyDelete
  6. hivi kweli waliogongwa na hii mistari ya mjomba hua wanaingia ktk hii blog ya jamii?au hua wanasikiliza miziki hii ya kizazi kipya?maana hii ngoma mjomba umewachana inavyotakiwa,na ndio inavyo takiwa,hata wanamuziki wengine mngweza kua mnatoa vibao vya kuwachana hao jamaa,labda ingesaidia kiasi ingawa mjomba anasema tabia nisawa na ngozi haibadiliki.Poa sana mpoto,upo juu,mimi ninakukubali.

    ReplyDelete
  7. NAAM HIZI NDIZO NYIMBO ZA KUIMBWA NA KUSIKILZA NA SISI WALALA HOI:UJUMBE MZURI SANA NJOMBA,NATAMANI NISILKILIZE ZIKU NZIMA LAKINI NINAVYOZIDI KUSIKILIZA NDIVYO UCHUNGU UNAZIDI,RICHMOND,EPA,MKOA WA MARA WANANCHI WANATHIRIKA NA UGONJWA NGOZI,HUKU WAZUNGU WAKI ENDELEA
    JINEEMESHA:
    MUNGU IBARIKI TANZANIA NA VIONGOZI WAKE.
    MDAU NKA MAJOJAGHANDUGU UGHAIBUNI:

    ReplyDelete
  8. hizi nyimbo alizoimba na uyu bwamdogo zimesimama kinoma

    yani katika nyimbo zote zenye akili ni uyu mpoto tu

    kaza buti wangu

    ReplyDelete
  9. wasema kweli kwanini siku zote wanaitwa "heitaz" kama kitu hakijakaa sawa lazima mtu aambiwe, ila wabongo hampendi kuambiwa.
    Sasa sijui hii ni bongo fleva au nini, ila napenda kusema kama ni bongo fleva basi toka waanze miaka hiyo hichi ndio kitu cha kwanza kutulia kideoni, kitu kimeenda university,maisha halisi ya mtanzania, kweli mpoto habahatishi,ankal mpe salamu mpoto.

    ReplyDelete
  10. mambo hayo,na kama umeondoka nyumbani siku nyingi ndio huelewi kabisa hiyo misamiati,any way wanaoelewa wanafaidi.rocerown

    ReplyDelete
  11. Ankal ukirudi kutoka ukerewe naomba kampe slamu mpoto, mwambie na mimi nikipata nauli nitakuja bongo kumpa hongera zako kwa kitu kilichopanda vidato

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...