Home
Unlabelled
mrisho mpoto na mjomba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu ndio mzee wa matangazo ya FATAKI haha. hivi ndio vitu vya kusikiliza. Pazi
ReplyDeleteSound ni nzuri, video shooting nzuri, ujumbe ni mzito na umebeba ukweli (hii ndiyo hali halisi), pia sehemu mlishoot hizo video zimeenda vizuri sana na huu ujumbe. Kazi Nzuri, hongera sana.
ReplyDeleteMdau, ughaibuni.
Kazi kweli ipo!!! Namba Mjomba Kikwete atoe nauli haraka sana.
ReplyDeleteEbwana michuzi naomba nipelekee salam zangu kwa mrisho mpoto. yani huyu jamaa mistari yake inatisha.Alafu nimepata hapari kutoka China kwamba harusi yake ilikuwa yakufa mtu. Wagema wa mnazi kutoka kigamboni waliwalaza watu kwenye mitaro. Mi naomba anko Mpoto kama una clip ya harusi turushie kwenye globu ya jamii ili tuweze kufaidi kwa macho!!!
ReplyDeleteUko juu Mrisho!!! Kila kukicha afadhali ya jana!!
Mdau
Washington
Hii kitu imetulia sana.... haya heitaz kazi kwenu
ReplyDeletehivi kweli waliogongwa na hii mistari ya mjomba hua wanaingia ktk hii blog ya jamii?au hua wanasikiliza miziki hii ya kizazi kipya?maana hii ngoma mjomba umewachana inavyotakiwa,na ndio inavyo takiwa,hata wanamuziki wengine mngweza kua mnatoa vibao vya kuwachana hao jamaa,labda ingesaidia kiasi ingawa mjomba anasema tabia nisawa na ngozi haibadiliki.Poa sana mpoto,upo juu,mimi ninakukubali.
ReplyDeleteNAAM HIZI NDIZO NYIMBO ZA KUIMBWA NA KUSIKILZA NA SISI WALALA HOI:UJUMBE MZURI SANA NJOMBA,NATAMANI NISILKILIZE ZIKU NZIMA LAKINI NINAVYOZIDI KUSIKILIZA NDIVYO UCHUNGU UNAZIDI,RICHMOND,EPA,MKOA WA MARA WANANCHI WANATHIRIKA NA UGONJWA NGOZI,HUKU WAZUNGU WAKI ENDELEA
ReplyDeleteJINEEMESHA:
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA VIONGOZI WAKE.
MDAU NKA MAJOJAGHANDUGU UGHAIBUNI:
hizi nyimbo alizoimba na uyu bwamdogo zimesimama kinoma
ReplyDeleteyani katika nyimbo zote zenye akili ni uyu mpoto tu
kaza buti wangu
wasema kweli kwanini siku zote wanaitwa "heitaz" kama kitu hakijakaa sawa lazima mtu aambiwe, ila wabongo hampendi kuambiwa.
ReplyDeleteSasa sijui hii ni bongo fleva au nini, ila napenda kusema kama ni bongo fleva basi toka waanze miaka hiyo hichi ndio kitu cha kwanza kutulia kideoni, kitu kimeenda university,maisha halisi ya mtanzania, kweli mpoto habahatishi,ankal mpe salamu mpoto.
mambo hayo,na kama umeondoka nyumbani siku nyingi ndio huelewi kabisa hiyo misamiati,any way wanaoelewa wanafaidi.rocerown
ReplyDeleteAnkal ukirudi kutoka ukerewe naomba kampe slamu mpoto, mwambie na mimi nikipata nauli nitakuja bongo kumpa hongera zako kwa kitu kilichopanda vidato
ReplyDelete