Habari Kaka Michu,
Asante kwa kazi yako ngumu ya kutupasha habari motomoto na kutuweka kisasa wadau ulimwenguni kote. Naomba unisaidie kutuma ujumbe kwa wadau wote walioko Singapore au Thailand ili tukutane. Niko vekesheni katika nchi hizo mbili na ningefurahi kama ningekutana na wadau wanaoendeleza libeneke maeneo hayo. Niko Singapore hadi March 19 halafu Bangkok kuanzia March 21 hadi March 24. Tundu langu ni: mamboyafweza@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mkutane ili iweje, au unataka ujulikane umepanda Pipa anza mbele usije ukawatapeli, maana inaonyesha unapenda fweza kichizi weye, tafadhali mnaotaka kumuona tembeeni bila fweza, thank yu, mdau

    ReplyDelete
  2. we mdau wa pemba wewe yaelekea huo mchezo wako ndo mana aka yenu ni mdebwedo!! mguu pande.. mguu rejesha!

    ReplyDelete
  3. Nipo Bangkok TUNDUNI = bologeni@hayoo.com

    ReplyDelete
  4. TUNDU LAKO SIO VIBAYA KAMA NITAPATA NAFASI KUKUPITIA MARA MOJA MOJA KWENYE TUNDU LAKO

    SASA UNATAKA UKUTANE NA WADAU WA HUKO ILI IWEJE ????? KWANI SAFARI YAKO INA UHUSIANO GANI NA HAO JAMAA????????

    AU NI SAFARI MAALUMU YENYE UJUMBE FULANI KWA HAO JAMII WANAOISHI HUKO????

    WEKA WAZI ILI WATU WAPATE KUELEWA VIZURI KAMA NI SAFARI YA KAWAIDA TU BINAFSI HAINA MAANA KUTANGAZA KUTAKA KUKUTANA NA HAO JAMAA WA HUKO

    MIMI NINGEKUSHAURI KAMA UNAPENDA KUKUTANA NA WATU NJOO HUKU KWENYE MABOKS UKUTANE NA SISI WABEBA MABOKS

    ReplyDelete
  5. Mdau hamna tabu nimekuelewa, mie pia nipo hapa Thailand,tundu lako nimeliona kwa hiyo nitakuingizia habari tam tam,
    Tuonane kaka.

    ReplyDelete
  6. Acha Ulaghai wewe..unataka watoto wakike tu huko mbaya zaidi wabongo wenzako...kwa nn usioe au tosheka na mkeo ka ushaoa.
    Mijitu mingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...