Maandalizi ya Sherehe za Pasaka Mjini Oslo Norway ni kama kawaida kwa WaTz Wakaribu na mji huwo basi tunayo furaha kubwa kwa kuwakaribisha kwenye Mnuso huo ambao Utafanyika ndani ya ukumbi wa Lakkegata skole Slurpen Siku ya Ijumaa-02-april-2010 kuanzia saa-2:00 usiku mpaka Majogoo
Kiingilio/ 100 kr.


Adr- lakkegata 79b
Contact- 988 78 361,
Dj Uncle Pred A.K.A Abdul.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Poa ubishi ubishi tu, nitaelekea Airport na jamaa zangu wa Kanisa fulani hivi, na lazima this time tutokee OSLO Norway tena kny hiyo hiyo sherehe ukichukulia inatuhusu wanamadhehebu.

    ReplyDelete
  2. nchi hiyo si ndiyo nasikia ina baridi kiama yaani hata ngumi za usiku na mama mwantumu inabidi uwe umevaa koti zito la baridi,ili baridi isigonge sehemu nyeti za makalio! au...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...