Kondomu hizo, zinazokwenda kwa jina la 'Kama Sutra' zimetengenezwa na kampuni ya J.K Ansell Ltd ya Aurangabad, India, ambayo unadai kwenye gamba lake kwamba zimejaribiwa kielektroniki na kuridhisja viwango vya kimataifa vya ISO na kupewa namba ya uthibitisho 4074 of 2002.
Home
Unlabelled
angalizo kwa walaji wa 'chakula cha usiku'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huu ndio utani wa Wabongo. yaani kampuni ya export yenye turnover ya mamilion ya $ inaadhibiwa kwa faini ya TZS 3.5 mil!!!! Kama tunataka maendeleo ya kweli basi tuanze kuwa serious na jinsi tunavyofanya kazi zetu. vinginevyo tutayasikia tu.
ReplyDeletehapa hukumu yake ni kifo tu, huyu mtu ni muangamizazi. Mimi huwa sinunui zana za nje hata siku, siziamini kbs.
ReplyDeletemtumiaji wa zana za nyumbani
uko tunapokwenda sasa ni hatari!!!
ReplyDeleteANKAL MICHUZI NAOMBA NIKUULIZE. NIKITAKA KUSOMA HABARI ZA SIKU MBILI AU TATU ZILIZOPITA NINAFANYAJE. ZAMANI NILIKUA NIKIMISS HII BLOG KWA SIKU MBILI HIVI NAWEZA KUINGIA KWENYE KUMBUKUMBU NA KUPATA HABARI. SIKU HIZI NIMEJARIBU KAMA MARA MBILI HIVI NA WALA SIFANIKIWI. KUMBUKUMBU YA APRIL INANIPA HABARI HIZI HIZI ZILIZO KWENYE FRONT PAGE...
ReplyDeleteMAJUKUMU MENGI SIKU HIZI SASA KUFUNGUA BLOG KILA SIKU SIWEZI ILA NINAPENDA KUCATCH UP NA MAMBO YALIYOPITA ILA SIFANIKIWI KABISA...
NAOMBA UNIELEWESHE
THANKS IN ADVANCE
Hiyo heading mithupu haijakaa vizuri, hicho chakula siyo cha usiku tu! kinaliwa wakati wowote, infakti hata ukiwa kazini ukisikia maumivu ya mgongo, unapata msosi huo na kurudi kazini kama kawaida.
ReplyDeletemdau, mtumiaji mzuri wa msosi.
wadosi kweli noma!
ReplyDeleteWanataka kueneza kwa nguvu DINI ya
KAMASTURA!!
Kamasutra ni dini au madheebu ya wafuasi fulani nchini India,
Dini ya Kamastura,ibada zao ni zinaa au Ngono,yaani waumini wanakutana na kufanya ngono kwa kuchangiana,bora ndomu hizi zilivyopigwa moto,
Jamani inatisha hii!mtu unajua 99.999999 uko salama kwa kutumia condom kumbe doooooh!.
ReplyDeleteDuhh! hii sasa ni soo. Nadhani nilikatumia jana usiku, nikidhani nipo salama, kumbe noma. SIRIKALI, jamani tusaidiane, kwani sijuwi tutafika wapi? Msiendelee kujaza matumbo jamani, angalieni na usalama wetu.
ReplyDeleteNadhani ili kuonyesha mfano, hao jamaa wangefutiwa na leseni ya kuagiza hizi zana.
Serikali ingeweka ILANI kwenye zote za wageni.
Hizo ni zile zilizokamatwa, je ni ngapi zimepenya? Tanzania bila ukimwi ina"mashaka"!>Shukrani za pekee ziwaendee mliofanikisha hili maana mmeokoa watanzania takribani 70 alfu jumlisha 70 alfu wengine suppose ni waume wa watu hao, maana ukweli ndio huo watu wengi wanaoishi maisha ya mke na mume au mchumba na uchumba hii kitu haitumiki ili kudumisha uhusiano.
ReplyDeletesasa kama hivi tutaponea wapi jamani?
ReplyDelete1) Doing business well is very, very hard
ReplyDelete2) Few people do business well
3)The conceptual frameworks and tools underlying the conduct of today's business are hopelessly outdated
source: The World is Flat by Thomas L.Friedman
MIMI NAAMINI ZIMESHAPITA CONDOM NYINGI NA HIZO ZILIZOKAMATWA NI AROBAINI YAKE ILIFIKA.
ReplyDeleteKila mtu akapime. Unatakiwa ujue status yako kila baada ya mwaka na kama unakula chaakula cha jiona kama snacks vile basi unatakiwa ukapime kila miezi mitau au sita hivi...Uwe umeoa/umeolewa au la as long you are doing it that is it....."TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA" Just don't trust nobody
ReplyDelete