Home
Unlabelled
ankal safarini mbeya kwenye msiba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
at last michuzi asema asili yake ni mbeya.
ReplyDeleteSimba huyo Simba huyo Nyuma yenuuuuuuuuu. Ah Kumbe Yanga ndomana hamuogopi.
ReplyDeleteMichuzi unakua kama hujatoka ulaya last week bwana.... Kwani hamna vituo vya petroli? Au ndio mafuta ya wizi nini? Kichekoooooooooooooo....
ReplyDeleteHivi mpaka zama hizi bado watanzania tunatembea na madumu ya mafuta nyuma ya gari kweli ?
ReplyDeleteHalafu ikitokea "freaky accident" na mtu aungue bila kutambulika tutasingizia nini ? Wazalendo wenzangu, hebu tujifunze kusonga mbela badala ya kubali palepale au kurudi nyuma, please.
Ni kweli twajua Ankal asili yake Mbeya lakini huyu Nyanya Mzungu!!Tueleze kaka Michuzi, Vipi huyu bibi mzungu inakuwaje??wewe una Vi-DNA vya kidhungu kumbe??!!
ReplyDeletePole sana
ReplyDeleteMbona 'vidumu' tena... au hamuamini mafuta ya 'mikoani'?
ReplyDeleteAu?
Ankal, ingawaje sikumfahamu Nyanya yenu...poleni sana kwa msiba na kamzikeni salama. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema na kumpa mapumziko ya milele, Amen.
ReplyDeleteMlowezi wa Ukerewe
(asili ya Lake Nyasa - mla Mbasa na kikasa)
Ankal angalia nyuma yako simbaaa huyooo kimbia kwenye gari, fanya harakaaaaaa! Poleni kwa msiba ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Alikokwenda ni kuzuri sana ndo maana wanaoenda hawarudi!
ReplyDeleteSafari njema! inamaana njiani hakuna gas stations za kuongeza mafuta? itabidi next time kuweka full tank sio wese la kibaba!
Mdau wa damu USA
Ankal inakuwaje unabeba mafuta kwenye gallon wakati njia nzima kuna vituo vya mafuta? ni hatari kutembea na mafuta kwenye gallon ankal!au gari yako haina speedalmetre?
ReplyDeleteankal mithupu hilo tumbo kama linekuwa na uwezo wa kutoa malalamiko yake ingekuwa balaa, kwenye misosi ya draft twende chai ya "left hand" twende, kaaazi kweli kweli!!!!!
ReplyDeleteYaani bado mna mambo ya kizamani tu ya kuweka mafuta kwenye vidumu kama malendrova ya Ifakara-Mahenge! Khaah!
ReplyDeleteYaani juzi tu umetoka kulipwa HONORARIAM ya kuprizenti pepa kule kwenye Dayaspora umeshindwa kuweka ful tenk!?! Mweeh!
Haiwezekani ful tenk kwa gari kama hiyo liishie Mikumi.
Halafu msiwe mnazoea kusafiri familia kwenye gari moja namna hiyo. Sio vizuri
Ankal hata wewe umeweka chata ya OBAMA aaah Ankal namma gani hapo ? Ungeweka ya JK tafadhali au kama unaona noma basi hata ya Baba wa Taifa.
ReplyDeleteAnkal,siku nyingine kama utaishiwa wese kwenye hifadhi hiyo,andika kabisa wosia na uteue kabisa mtu atakaye endeleza libeneke la blog yetu ya jamii.Ni vizuri sana kama utatubu kwa Mungu na kujitakasa kabisa,maana kufumba na kufumbua anaweza tokea nyau pori(simba) akafanya selufu sevisi ,sidhani kama utapata hata nafasi ya kutubu.Nakumbuka nilipotembelea mbuga hiyo simba tuliwakuta barabarani kando kidogo wamepumzika,cha ajabu kuna jamaa mmoja ni kama kichaa huwa anatembea kwa miguu peke yake mbugani hapo lakini sijasikia kudhuriwa na simba hao,je simba hawali vichaa?
ReplyDelete.....na wewe umekuwa mzee wa mafuta ya vibaba ? utaua fuel pump !
ReplyDeleteJamani ankal hajasema asili yake ni mbeya.. kwani mbona huko mbeya wako wachaga, waluo, anyamwezi nk wameishi miaka kibao.. inawezekana ndugu na jamaa wameishi huko.. ankal hebu iweke wazi hii...
ReplyDeleteAnkal Mithupu, ukiwa Mbeya,sikiliza Mbeya Highlands FM Radio na kwa ujumbe huu pls fika pale MH FM Buma Bldg utoe tangazo lako lolote, its on the house!!
ReplyDeleteMdau Lawrence
ankal nini kimekufanya utembee na hayo madumu ya mafuta kwenye gari,huoni kama ni hatari?
ReplyDeleteduh ankal,gari yenu vipi?hamjui inatumia wese kiasi gani?kulikoni kutembea na galoni 2 za lita 20? nafikiri hata sheria hairuhusu kiasi kikubwa cha mafuta kama hicho,au mlinunua hapo kijijini? vinginevo hapo gari inakuwa kama bomb la petrol linalotembea,ni hatari sana ankal ajali ikitokea.naomba uweke hii comment itaelimisha wengi.
ReplyDeleteAnkal huko ni kujiadhiri!kubeba mafuta kwenye madumu kumepitwa na wakati
ReplyDeletemichuzi usifanye tena ujinga huo nihatari sana mnaweza kulipukiwa na hayo mafuta kwa jua kali ama mmesimama mtu anavuta sigara ikashika ni hatari sana kaka
ReplyDeleteDuu ankal!ile tisheti umeiuza kwa garama basi fix hiyo speedometer ili ujuage mafuta yanaishia sio kistukizia.ohooo,utaliwa na simba.tutampata wapi tena ankal kama wewe!lol!
ReplyDeletemdau Houston.
kweli wewe kiboko!!
ReplyDeletembavu zangu
Vipi suala la kuweka mafuta ukiwa kwenye hifadhi ya taifa kimazingira?
ReplyDeleteSio uharibifu wa mazingira jamani. Mi naamini tone moja tuu la petroli ni hatari kwa viumbe. Mpo?
Ankal makusudi hayo sasa!!! mwangalie alivyojitwika kichwani hilo dumu.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMi nimecheka sana hiyo kauli ya "ankal wa ankal"
ReplyDeleteKuhusu madumu nyie acheni tu hamjui ankal kapata wapi hayo mafuta na kwa bei gani.
Zis iz Bongo. What you see in NOT necessarily what you get. Kila mtu na ujanja wake.
Asalaam alaykhum ankal!
ReplyDeletePoleni sana kwa msiba mola amlaze mahala pema peponi bibi yenu mpendwa amina.
Chef Issa
HIYO YOTE NI KUKWEPA KULANGULIWA MAFUTA BARABARANI AU? AU HAYO NDIO YALE MAFUTA YA KUKINGA KWENYE MAROLI BARABARANI KWA MIFUKO YA RAMBO PALE BUGURUNI? KAMA NDIO HAYO KAKA MNACHOCHEA WIZI... ANYWAYS INAELEKEA KUNA KA-SAVING FLANI MNAFANYA KWA MTINDO HUO.
ReplyDeletemZOZAJI
Wese kunyonyea porini yaleyale
ReplyDeleteankal hiyo ze shati iliyochongoka enzi hizo tuliita kajogoo
ReplyDeleteAnkal umenikumbusha mbali sana kaka, na hiii picha ya mikumi kaka safari kunyumba kaka
ReplyDelete