Mwalimu akiwa na mzee John Rupia na Bi Titi Mohamed katika moja ya mikutano ya hadhara kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar. Hakika Mwalimu alikubalika sana na wengi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Picha nimeipenda sana,naomba mdau ulituma taja mwaka ambao Mwalimu alikuwa akihutubia,pia ulikuwa ni mkusanyiko wa kazi ,kampeni,ziara ya kikazi,alishakuwa rais or ?

    Jamani mwenye picha zaidi za Mwalimu zinazo onyesha matukio mbalimbai atume,hata sie vijana tujifunze machache kutoka kwa Mwalimu,kama video tape,DVD,or website or link yeyote ambayo naweza kuona picha hizo nitashukuru sana, kwani nafsi yangu itaburudika saaaannaaaaa tu,ngoja niwaudhi mafisadi-Zidumu fikira za Mwalimu Nyerere,

    ReplyDelete
  2. habari za mwalimu sio ngeni na picha zake sio ngeni! mimi nataka kujua habari za hao kina rupia na bibi titi tuu!bila shaka picha inatuonyesha wamefanya mambo mengi tuu katika nchi hii tupeni bari zao! au tukijua barabara ya bibi titi tuu inatosha?

    Mzaramo!

    ReplyDelete
  3. NYERERE WHERE ARE YOU ONE OF THE GREATEST SONS OF AFRICA WHERE ARE YOU???
    MAFISADI WANAMALIZA NCHI YAKO BABA TUNAKULILIA SANA HUKO ULIPO NA MUNGU AIWEKE ROHO YAKO MAHALI PEMA .
    AMINA.

    ReplyDelete
  4. Hizo classics pictures tuwekewe makumbushoya taifa zitasaidia kusoma history ya uhuru wa nchi yetu

    ReplyDelete
  5. Sababu alikuwa hana mpinzani wakati huo! vile vile kulikuwa na kulazimishwa kwenda kwenye hadhara kama hizo kutoka makazini, mashuleni mpaka majumbani usipohudhuria utamkoma bosi wako au mjumbe wa nyumba kumi ambao mara nyingi hawa walikuwa TANU/CCM damuuu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...