Home
Unlabelled
first lady and obama khanga's
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michelle obama center??? mh!!
ReplyDeleteSerikali ya Marekani ilichukua na inaendelea kuchua Wasomali wenye Asili ya Kibantu(Bantu Soomal/Jareer0 ambao wengi wao wanaongea Kisomali kama Lugha ya kwanza Ki-Mahawia lugha yao ya pili na Kizigua kama Lugha yao ya asili.Ni wazigua ambao mambabu zao walikwenda Somalia
ReplyDeletehabari zaidi tembelea www.bantusomali.com
Hapo Michuzi umechemsha....Michelle Center than i don't see no farm coordinator or President and CEO of the California Endowment lol
ReplyDeleteMdau Keneda
Mdau wa pili, You are right. Hawa ni Wasomali-Wazigua ambao wengi walikuwa katika mashamba ya ndizi. Cha kusikitisha sana ni kuwa waliporudi Tanzania hawakupokelewa vizuri na kwa wengi wao imekuwa vigumu kupata uraia wa nchi yao ya asili (xenophopia au bigotry fulani... au simply not caring) hat baada ya kuishi hapa zaidi ya miaka 15. Enzi za Mwalimu Wazigua hawa wangelipokelewa kwa mikono miwili. Cha kusikitisha ni kuwa wamesaidiwa na nchi za magharbi kuliko nchi ya mababu zao. Shame on us! As long as sisi Waafrika hatuoneani huruma sisi kwa sisi, tusitegemee kuwa watu wengine watatuheshimu. Tujipende sisi kwanza.
ReplyDelete