Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Dr.Guido Westerelle ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Dr.guido Westerwelle(wapili kushoto) pamoja na Waziri wa Maendeleo wa Ujerumani Bwana Dirk Niebel(kushoto) ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Swali kwa Waandishi wa Habari wa Tanzania !
    Nini Madhumuni ya Wajerumani Kuja Tanzania? au
    Ni Madhumuni ya Raisi Kikwete Kuwakaribisha Wajerumani Ikulu?
    Ahsante sana
    ZERO

    ReplyDelete
  2. Good Stuff!
    Raisi wetu leo anabonga na Homosexual wa kikwelikweli!.. Maendeleo haya wazee!
    Hata mimi, mbele ya pesa nitaongea na Homo tu!
    kudos JK!

    ReplyDelete
  3. Guido Westerwelle (born 27 December 1961) is a German liberal politician, currently serving as the Foreign Minister and Vice Chancellor of Germany in the second cabinet of Chancellor Angela Merkel (since 28 October 2009). He is the first openly gay person to hold either of those positions. Since 2001, he has been the chairman of the Free Democratic Party of Germany. A lawyer by profession, he has been a Member of Parliament since 1996.
    Source:From Wikipedia, the free encyclopedia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...