
Yesu akamwambia, mimi ndimi ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi , ajapokufa , atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele (Yoh 11:25-26)
Unakumbukwa na mpendwa Mkeo na Mwanao, Wazazi, Kaka na Dada zako pamoja na Ndugu, Jamaa na Marafiki
Misa Takatifu ya kumuombea Marehemu itasomwa Jumamosi tarehe 10 Aprili 2010 saa 3 (tatu) asubuhi katika Kanisa Kuu la MT Albano
will always miss u!!!!!!! may GOD make it possible for us to remember you in the best of ways.
ReplyDeletefatmah mvungi
malaysia