


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Alhamdu llillah Viongozi wetu wamependeza Inshallah Mungu awape kila la kheri awape ufanisi katika kazi zao ili tuuishi maisha bora.Amiin
ReplyDeleteHongera sana Rais wa Zanzibar kwa ktimiza azma ya ukamilisho wa majengo hayo muhimu kwa jamii. Aidha iwe fundisho kwetu hususan kwa viongozi wa nji hii kuwa enzi hizo Mh marehemu Karume aliwaza juu ya huduma hiyo na kuianza/kuitekeleza hima... Je ni kitu gani kiliuzuia mradi huu muhimu kwa wananchi mpaka leo? na pia imeshindikanaje kwa kipindi hiki cha miaka 34 kufanya hayo kote bara na visiwani?? Angeamka le mzee wetu hyu angetandika woote bakora. RIP A.A.Karume
ReplyDeleteInashangaza kwa uongozi uliopo madarakani siku hizi hata kwa ngazi yoyote uianzia juu. Je hakuna mwenye wazo kama la mzalendo huyu - marehemu Karume - walao yakajengwa maghorofa mawili kama ya michenzani zanzibar kila mwaka kila mkoa? hivi ni kweli haiwezekani? inashangaza hata miradi mingi iliyopo licha ya ufadhili mkubwa wa wahisani ama inakwisha kwa muda mrefu sana tena kwa viwango vya chini ama ifie njiani? kulikooni??
ReplyDeletewazanzibari wenzangu, ninakumbuka katika miaka ya mwisho ya 80 na awali 90 kulikuwa na uvumi kuwa ukipita usiku pale makao makuu ambapo penye kaburi la marehemu karume watu walikuwa wanaona jambo fulani la ajabu, jee hii ni kweli? kuna yeyote aliyewahi kuona?
ReplyDeletehii project inafaa kuwekwa kwenye World Guinness Records kama the longest housing project ever. imeanza miaka ya 60 na imemalizika 2010. Tena ni jumla ya majengo nadhani 10 au 12 tu!!!!!!
ReplyDeleteRIP
ReplyDeleteONE OF THIS NATION'S FATHERS
kweli bongo mwendo pole x2 yameanza kujengwa some 40yrs ago sasa ndiyo yanakamilika?
ReplyDeletenyumba hizi zilijengwa baada ya nyumba zilizokuwepo sehemu hizo kuvunjwa miaka hiyo ya late sixties na marehemu karume. wenye nyumba hizo waliahidiwa flat katika magorofa ya kisasa, hata hivyo wengi hawakupatiwa kwa vile mradi mzima ulizozota na ndio kwanza unamalizika mwaka huu.
ReplyDeletesasa sijui kama waliovunjiwa nyumba zao watapewa hizo flats au zitakwenda kwa kujuana, pia sijui kama waliovunjiwa nyumba watakuwa wako tayari kuhma tena katika nyumba walizopewa wakati ule kama ni temporary wakati flats zikijengwa.
AFADHALI HICHO KIDUCHU HUKU BARA KAZI YAO NI WIZI NA KUJENGA NYUMBA ZAO NA SISI TUNALALA KWENYE MBAVU ZA PANYA MTU AKIPITA NJE BASI NDANI WATUONA, HAMNA SIRI KUTAFUTA MTOTO HADI USIKU WA MANANI NA SOMETIMES HAIWEZEKANI HADI TUENDA PORINI. MWEEEE!
ReplyDeleteNIMEONA SHEMU KIBAO WAMEANDIKA "SIKU YA KARUME DAY" HIVI SAWA????
ReplyDeleteHongera Wazanzibari, hata kama yakichukua miaka 100 hatimaye yakamilike na watu kupata makazi bora. Bara wananyang'anya ardhi kwa mafukara kuiuza kwa wenye nazo, wanagawana mali za umma na nyumba za viongozi halafu wanawaweka serikali inalazimika kuwagharamia viongozi wapya kuishi hotelini au kuwajengea nyumba kwa mipesa mingi ya Umma!!! Na wabara wamelalaaaaaaa!!
ReplyDeleteunaona jinsi gani bongo unavyopendeza kwa vazi hilo la wakuu wetu hapo juu hehehe bongo ni ya wenyewe bwana wengine wanajichomeka tu kwa nguvu za wadhugu
ReplyDeleteHizi sikukuu kama hizi ilitakiwa watu waendelee na kazi kama kawaida na viongozi ndio wafanye mambo hayo,ni vzr kuwaenzi sikukuu ni nyingi mno uzalishaji na maendeleo kwa ujumla vinarudi nyuma. Takwimu zinaonyesha uchumi wa TZ kwa siku moja ni takribani Tsh.200bln, sasa zote hizo zimesimaa. Natoa hoja !!
ReplyDeleteI think now IS THE TIME TO EVERY Body Now Let That Is Not The Way Relatives TO GO! Any Idea Let TO MY WINNING RUN TO THIS PROJECT BIDER By PUTTING IN SWAHILI herein Will IAM TELLING YOU THESE BE IN A Ness A Year.
ReplyDeletemdau wa Fri Apr 09, 06:56:00 AM, uhali gani? unatumia kitu gani mwenzetu?
ReplyDelete