mlinzi wa kutumainiwa akiwa lindoni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. amechoka masikinii

    ReplyDelete
  2. Mmesha mfukuzisha kazi sasa..

    ReplyDelete
  3. hawa walinzi wa bongo hawatakiwi kuwekewa viti,angalia walinzi wa queen kule uk hakuna kukaa hata mara moja.

    ReplyDelete
  4. Fri Apr 02, 06:33:00 PM kwa hiyo dogo unataka kila lifanywalo uk na tanzania lifanyike?

    kila lilopo uk ndio zuri enhe?

    ReplyDelete
  5. Kajifukuzisha mwenyewe mtu wa watu. Na hivyo viti vyote vya nini kama sio uchafu.

    ReplyDelete
  6. Huyu mlinzi inaonyesha hana mazoezi ya kutosha au anapewa kazi kubwa ya kulinda mchana na usiku bila kupuzika msaidieni na yeye anatafuta maisha.

    ReplyDelete
  7. Mtoa maoni 06:33:00 PM unafananisha UK na Bongo ndugu yangu???.
    Kwa mshahara gani wanaopata hawa walinzi ili wasilale,hivyo vi elfu 70 kwa mwezi??, maisha yanapanda kila kukicha-umeme,chakula, maji,chumba,watoto shule, Kijijini kwao yeye ndo baba ,yeye ndo mama, Sasa msimamishe siku nzima kama wale wa UK kama hujamuua huyo siku 2 tu

    ReplyDelete
  8. Hapo either hajala siku nzima au masaa mengi kazini no break

    ReplyDelete
  9. Alikuwa ktk lunch breki
    Kigogo Boy

    ReplyDelete
  10. Msipende vya dezo mtu mwenyewe analipwa elfu 70 arafu mnataka alinde kama uk mwacheni apumzike mtu mwenyewe kenda kazini familia yake kaiyacha bira kitu apo unaweza kukuta anamawazo ya familia. kichwa kinamuuma kwa sababu mali anayo rinda aiyendani na mshahara wake kwaiyo anafikilia jinsi ya kupanga matokeo

    ReplyDelete
  11. Lakini pia kuna watu ambao hata akilipwa hela nyingi kiasi gani atasinzia tu!! mara ngapi tumeona wabunge wanalala bungeni??? kuna watu usingizi na kulala hovyo hadharani ni kama sehemu ya maisha...!! kama inabidi kulala tafuta sehemu ujifiche ili kuwa salama na kuepuka kamera!! tuwe waoga kulala hadharani hata kama tumeelemewa na usingizi...usingizi iwe private kama kwenda haja!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...