Home
Unlabelled
mlinzi wa kutumainiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
amechoka masikinii
ReplyDeleteMmesha mfukuzisha kazi sasa..
ReplyDeletehawa walinzi wa bongo hawatakiwi kuwekewa viti,angalia walinzi wa queen kule uk hakuna kukaa hata mara moja.
ReplyDeleteFri Apr 02, 06:33:00 PM kwa hiyo dogo unataka kila lifanywalo uk na tanzania lifanyike?
ReplyDeletekila lilopo uk ndio zuri enhe?
Kajifukuzisha mwenyewe mtu wa watu. Na hivyo viti vyote vya nini kama sio uchafu.
ReplyDeleteHuyu mlinzi inaonyesha hana mazoezi ya kutosha au anapewa kazi kubwa ya kulinda mchana na usiku bila kupuzika msaidieni na yeye anatafuta maisha.
ReplyDeleteMtoa maoni 06:33:00 PM unafananisha UK na Bongo ndugu yangu???.
ReplyDeleteKwa mshahara gani wanaopata hawa walinzi ili wasilale,hivyo vi elfu 70 kwa mwezi??, maisha yanapanda kila kukicha-umeme,chakula, maji,chumba,watoto shule, Kijijini kwao yeye ndo baba ,yeye ndo mama, Sasa msimamishe siku nzima kama wale wa UK kama hujamuua huyo siku 2 tu
Hapo either hajala siku nzima au masaa mengi kazini no break
ReplyDeleteAlikuwa ktk lunch breki
ReplyDeleteKigogo Boy
Msipende vya dezo mtu mwenyewe analipwa elfu 70 arafu mnataka alinde kama uk mwacheni apumzike mtu mwenyewe kenda kazini familia yake kaiyacha bira kitu apo unaweza kukuta anamawazo ya familia. kichwa kinamuuma kwa sababu mali anayo rinda aiyendani na mshahara wake kwaiyo anafikilia jinsi ya kupanga matokeo
ReplyDeleteLakini pia kuna watu ambao hata akilipwa hela nyingi kiasi gani atasinzia tu!! mara ngapi tumeona wabunge wanalala bungeni??? kuna watu usingizi na kulala hovyo hadharani ni kama sehemu ya maisha...!! kama inabidi kulala tafuta sehemu ujifiche ili kuwa salama na kuepuka kamera!! tuwe waoga kulala hadharani hata kama tumeelemewa na usingizi...usingizi iwe private kama kwenda haja!!!
ReplyDelete