
Hi Ankal,
Naomba msaada wako kwenye tuta,hii ni Shule maarufu sana jijini Dsm ifahamikayo kwa jina Muhimbili Primary School.
Mimi ni mmoja wa wanafunzi tuliopita katika shule hii na nilimaliza mwaka 1992 darasa la saba A. nawatafuta sana classmate wangu popote walipo,naomba tuwasiliane kupitia email hii
Ahsante sana kwa msaada wako Ankal
Mdau,
Hassan Mussa Rehani
NDOSI ANAKUTAFUTA...
ReplyDeleteWapi Mwalimu Ndossi, Hii shule ni Muhimbili nakushukuru mdau, old is gold, Umetukumbusha mbali
ReplyDeleteduh,mdau umenikumbusha mbali sana, mimi nimemaliza la saba hapo 1990,duh siku zinakimbia aisee,nilikuwa kama hao watoto hapo,begi kubwa kuliko mwili wangu, unakumbuka mabegi ya us navy,juisi sun vita,kitenesi madarasa yote uwanja mmoja?hii ilikuwa muhimbili pekee,kuna wanafunzi walikuwa wamepinda sana hapo wanaenda tambaza kudoea msosi!!baba taibali bado yupo??
ReplyDeletemwl ndossi,chuwa,nanayakala,ruta, muhimbira/mwimbira alikuwa anatufundisha tuition mtaa wa nyuma ya tambaza....sometime natamani hizo siku zirudi
Mwl. Ndosi alikuwa balaa,mie nilikimbia tuition yake kwa ajili ya bakora,alikuwa mwal mzuri sana,tupatiwe habari zake yuko wapi?au kesharudi kwenye viamba Moshi?
ReplyDeleteOld is Gold
ReplyDeleteMuhi2 Primary School, Ndossi, Chuwa mwalim wa Darasa sita C , Mama yetu si Nanayakar si jamani si yuo wapi?Si tunamkumbuka si sisi si wanafunzi wa Darasa la si saba c si jamani?!Hebu tuunganisheni tufanye Alumni...Salama Mwinyi uko wapi?Siwema uko wapi?Chiduo Zayumba bingwa la uchoraji uko wapi?Emanuel Minja?Emanuel Lyatuu, Ambrosi mkuu wa kikosi cha Border(KKB) Sungusungu wa Ndossi wako wapi??Maryam Kimbau mko wapi?eeeeh looong time jamaniMarha Kabuzya, na wengine weengi!
Huyu jamaa atuunganishe wote tuwe kitu kimoja, tutengeze blogu ili tuiboreshe shule yetu Time Sharif uko wapi?
anon sun 04/04:36pm umetaja darasa langu kabisa,seven c ly 90,akina steven wakati,ashura kavumo/sapi,martha kabuzya,humphrey mtakyahwa,jamilla maganga,saidimu ngalesoni....big up muhi2
ReplyDeletemie nlimaliza mwaka 83. nawakumbuka kina peter (mpiga kengele), mushobozi, twise , kalikawe (RIP), ebu tukumbusheni wadau wengine....
ReplyDeleteSeven C,Abrossi Macha na wale vibaka wenzake wa Kinondoni Shamba wapo Ukonga wanatumikia kifungo.Raymond George'Kiku'upo wapi?
ReplyDelete