Hi Ankal,
Naomba msaada wako kwenye tuta,hii ni Shule maarufu sana jijini Dsm ifahamikayo kwa jina Muhimbili Primary School.
Mimi ni mmoja wa wanafunzi tuliopita katika shule hii na nilimaliza mwaka 1992 darasa la saba A. nawatafuta sana classmate wangu popote walipo,naomba tuwasiliane kupitia email hii
Ahsante sana kwa msaada wako Ankal
Mdau,
Hassan Mussa Rehani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. NDOSI ANAKUTAFUTA...

    ReplyDelete
  2. Wapi Mwalimu Ndossi, Hii shule ni Muhimbili nakushukuru mdau, old is gold, Umetukumbusha mbali

    ReplyDelete
  3. duh,mdau umenikumbusha mbali sana, mimi nimemaliza la saba hapo 1990,duh siku zinakimbia aisee,nilikuwa kama hao watoto hapo,begi kubwa kuliko mwili wangu, unakumbuka mabegi ya us navy,juisi sun vita,kitenesi madarasa yote uwanja mmoja?hii ilikuwa muhimbili pekee,kuna wanafunzi walikuwa wamepinda sana hapo wanaenda tambaza kudoea msosi!!baba taibali bado yupo??
    mwl ndossi,chuwa,nanayakala,ruta, muhimbira/mwimbira alikuwa anatufundisha tuition mtaa wa nyuma ya tambaza....sometime natamani hizo siku zirudi

    ReplyDelete
  4. Mwl. Ndosi alikuwa balaa,mie nilikimbia tuition yake kwa ajili ya bakora,alikuwa mwal mzuri sana,tupatiwe habari zake yuko wapi?au kesharudi kwenye viamba Moshi?

    ReplyDelete
  5. Old is Gold
    Muhi2 Primary School, Ndossi, Chuwa mwalim wa Darasa sita C , Mama yetu si Nanayakar si jamani si yuo wapi?Si tunamkumbuka si sisi si wanafunzi wa Darasa la si saba c si jamani?!Hebu tuunganisheni tufanye Alumni...Salama Mwinyi uko wapi?Siwema uko wapi?Chiduo Zayumba bingwa la uchoraji uko wapi?Emanuel Minja?Emanuel Lyatuu, Ambrosi mkuu wa kikosi cha Border(KKB) Sungusungu wa Ndossi wako wapi??Maryam Kimbau mko wapi?eeeeh looong time jamaniMarha Kabuzya, na wengine weengi!
    Huyu jamaa atuunganishe wote tuwe kitu kimoja, tutengeze blogu ili tuiboreshe shule yetu Time Sharif uko wapi?

    ReplyDelete
  6. anon sun 04/04:36pm umetaja darasa langu kabisa,seven c ly 90,akina steven wakati,ashura kavumo/sapi,martha kabuzya,humphrey mtakyahwa,jamilla maganga,saidimu ngalesoni....big up muhi2

    ReplyDelete
  7. mie nlimaliza mwaka 83. nawakumbuka kina peter (mpiga kengele), mushobozi, twise , kalikawe (RIP), ebu tukumbusheni wadau wengine....

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 22, 2010

    Seven C,Abrossi Macha na wale vibaka wenzake wa Kinondoni Shamba wapo Ukonga wanatumikia kifungo.Raymond George'Kiku'upo wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...