Assalamu alaikum Mkuu wa Wilaya ya nanihii na wadau wote.
Naomba kama kuna mtu ambaye anafahamu Vyuo ambavyo vinatoa nondo za Udaktari-MD nchini India au China anipatie majina au websites zake.
Santeni sana.
email yangu ni mkijawangu@yahoo.com
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe acha uvivu, kesho kutwa tena utaomba tukusaidie jinsi ya kukata ticket ya ndege. usipende kutafuniwa.. amka kijana tena ndio kama unataka kusoma MD unatakiwa uwe smart hapo juu!!. nachotaka kukushauri ni kuwa ingia kwa google search then andika kitu unataka hakika utapata!!..nimefungua kwa google nimekuta list ya vyuo vingi sana..sasa ni wewe tu uchague unakitaka kipi kutokana na chuo chenyewe kilivyo.. so jaribu kutafuta kwanza mwenyewe kabla ya kuomba msaada..Naweza nikaumabia chuo fulani kumbe boom kabisa ila wewe ukiingia kwa google utaviona na utachagua kulingana na uwezo wako
ReplyDeleteMdau
wasiliana na hii website kwa taarifa zaidi za vyuo vya udakitari nchini China pamoja na scholarship duniani kote,mimi nimejiunga nayo na wanatoa update kila mara.
ReplyDeletewww.mallaba.ning.com
mdau
Indian Institute of Management (IMM) kiko mji wa Ahmedabad. Mwambie aasearch kwenye internate for more details aandike
ReplyDeleteIndian Institute of management (IIM) Ahmedabad India atakipata
Naomba msaada jamani. Natangaliza shukrani zangu kwa wadau popote pale mlipo. Namtafuta bwana mmoja anaitwa TASI namfahamu kwa jina moja tuu. Tulikutana naye Dar es salaam maeneo ya Wizara ya ardhi. Tulifika hadi kwake maeneo ya Mbezi - samaki wabichi au tangi bovu. Nilimpeleka hadi nilipokuwa nakaa pia. Aliondoka mapema kurudi Sudan alipokuwa anafanyia kazi IT-UN na mimi nikarudi Norway. Lakini nasikitika nilipoteza contact zake na nina nahitaji sana kuwasiliana naye amjuaye huyu jamaa anisaidie jamani. Mke wake alikuwa anafanya ofisi fulani maeneo ya ubalozi wa USA wa zamani. Huyu bwana ameishi USA muda mrefu kabla ya kwenda Sudan. Tuwasiliane kwa email. aal090tz@gmail.com. Asante sana kaka Michuzi
ReplyDeleteWewe mdau utaweza kusoma Udaktari kweli wakati unashindwa kufanya research mwenyewe kwenye mtandao. Hujawahi kusikia Google? Ebu wacha uvivu..nenda google ukatafute hivyo vyuo mwenyewe...wabongo kwa kupenda urahisi? Hili si swala la kuwauliza wana jamii...labda ungetaka mtu akusaidie shule gani ni nafuu zaidi, ama shule gani ina wabongo ambao wanaweza kukusaidia ningekuelewa..lakini eti wewe unataka kujua shule gani wanatoa nondo ya udaktari India ama China..ziko mia kidogo...fanya utafiti mwenyewe.
ReplyDeleteMkuu bora uende Uturuki Kwani ni cheapest compare na hao vili wana miundo mbinu bora
ReplyDeleteMI NAKUPA MSAADA TU WEWE GOOGLE TU, MAANA WAKINA OYOOYOO (CHAI) WAKIINASA TU UNALO
ReplyDeletemkuu mbona vyuo ni vingi bongo, wenzio tunajuta huku urusi tulipo
ReplyDeleteSoma bongo......
Binafsi sikushauri usome udaktari India ama china, labda kama unaenda kwa masters
Ahsante.
Mdau wa urusi nikiwa vakesheni Nairobi
ukigoogle kwenye hihi hii blog kuna mtu ameweka vyuo vya China ni majuzi tu
ReplyDeletewewe mtu ambaye humshauri mwenzio kusoma china unamamo yako,..wengi wenu mnaishia kuwa walevi tu na mnaona shule ngumu..kusoma china kunafaida kibao tu practiclas ni nyingi compared na bongo ambako theory mpaka mwisho..
ReplyDeletewewe search google.
hakuna lugha ngumu as long as u work hard on it
Bwana mdogo nakushauri kama ni shahada ya kwanza usomee hapahapa nyumbani halafu uende nje kwa shahada ya pili. Miaka ya kumaliza kozi ni ile ile. Ukirudi unakuwa kibopa wa maana.
ReplyDelete