MAREHEMU AGNES CHUMACHIWELE SMITH 'MAMA TOM'
ANKAL NA WANAFAMILIA TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA KIPENZI NYANYA YETU AGNES CHUMACHIWELE SMITH 'MAMA TOM' KILICHOTOKEA SIKU YA JUMATANO SAA TANO ZA ASUBUHI KATIKA HOSPITALI YA SIJABAJA JIJINI MBEYA.
MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA JUMAMOSI SAA TISA ALASIRI KWENYE MAKABURI YA NONDE, BAADA YA MISA ITAYOTANGULIA SAA TATU ASUBUHI KATIKA KANISA LA MTAKATIFU ANTHONY MKABARA NA HOSPITALI YA RUFAA YA MBEYA.

MOLA AIWEKE PAHALA PEMA ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI

- AMINA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sidhani kama kuna hellen halfcast aliyesoma Sangu zaidi ya ninayemjua mimi aliishi na angelah dada yetu kama ndiye pole sana Hellen! najua ulimpenda sana mama lakini mungu alimpenda zaidi naomba uwe mtulivu kwenye kipindi hiki kigumu cha maombolezo mtangulize bwana mbele MLIPENDA MAMA LAKINI BWANA ALIMPENDA ZAIDI
    TUSIFU YESU KRISTO

    ReplyDelete
  2. Poleni ma ankal na ma aunty.

    Ndio kazi ya Mungu.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. nasikitika sana kuondokewa na bibi yetu mpendwa, chamsingi nikumuombea Mungu ili apumzike salama mahali pema peponi,
    BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. AMEN!

    MAKIWANGO.

    ReplyDelete
  4. Mume Wangu, Mikanjuni TangaApril 09, 2010

    Poleni wafiwa wote, Mola awape subira katika wakati huu mgumu wa maombolezo.
    Bwana alitoa na sasa amechukua, jina lake litukuzwe!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...