MAREHEMU AGNES CHUMACHIWELE SMITH 'MAMA TOM'
ANKAL NA WANAFAMILIA TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA KIPENZI NYANYA YETU AGNES CHUMACHIWELE SMITH 'MAMA TOM' KILICHOTOKEA SIKU YA JUMATANO SAA TANO ZA ASUBUHI KATIKA HOSPITALI YA SIJABAJA JIJINI MBEYA.
MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA JUMAMOSI SAA TISA ALASIRI KWENYE MAKABURI YA NONDE, BAADA YA MISA ITAYOTANGULIA SAA TATU ASUBUHI KATIKA KANISA LA MTAKATIFU ANTHONY MKABARA NA HOSPITALI YA RUFAA YA MBEYA.
MOLA AIWEKE PAHALA PEMA ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
- AMINA
Sidhani kama kuna hellen halfcast aliyesoma Sangu zaidi ya ninayemjua mimi aliishi na angelah dada yetu kama ndiye pole sana Hellen! najua ulimpenda sana mama lakini mungu alimpenda zaidi naomba uwe mtulivu kwenye kipindi hiki kigumu cha maombolezo mtangulize bwana mbele MLIPENDA MAMA LAKINI BWANA ALIMPENDA ZAIDI
ReplyDeleteTUSIFU YESU KRISTO
Poleni ma ankal na ma aunty.
ReplyDeleteNdio kazi ya Mungu.
(US Blogger)
nasikitika sana kuondokewa na bibi yetu mpendwa, chamsingi nikumuombea Mungu ili apumzike salama mahali pema peponi,
ReplyDeleteBWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. AMEN!
MAKIWANGO.
Poleni wafiwa wote, Mola awape subira katika wakati huu mgumu wa maombolezo.
ReplyDeleteBwana alitoa na sasa amechukua, jina lake litukuzwe!!