KILA PALIPO NA TATIZO SULUHISHO PIA LIPO. WALIJITOKEZA VIJANA WA ENEO HILO KWA LENGO LA KUTOA MSAADA, WAKIWA NA VIPANDE VYA MITI MIKAVU TAYARI KUINUA NYAYA NA KUWEZESHA MAGARI KUPITA.
LAKINI WALIPOONA WANFANYA KAZI YA KANISA SIKU YA IJUMAA KUU WALIAHIRISHA ZOEZI LA KUPITISHA MAGARI BURE. WAKAANZA KUDAI MALIPO KWA KILA GARI KUBWA LILILOPITA HAPO.
BAHATI NZURI KWA MAGARI MADOGO HAIKUWA NA UGUMU KWANI YALIWEZA KUPITA BILA KUGUSA NYAYA HIZO HIVYO YENYEWE HAYAKULIPISHWA CHOCHOTE.
GHAFLA ZOGO LIKAANZA HAPO HAPO BARABARANI. KWANI KILA MTU AKATAKA KUWA MWEKA HAZINA. HADI TUNARUKA HEWANI MAFUNDI WA KAMPUNI HUSIKA WALIKUWA HAWAJAFIKA ENEO LA TUKIO NA VIJANA WAKAWA WANAENDELEA 'KUSAIDIA' MADEREVA.
GHAFLA ZOGO LIKAANZA HAPO HAPO BARABARANI. KWANI KILA MTU AKATAKA KUWA MWEKA HAZINA. HADI TUNARUKA HEWANI MAFUNDI WA KAMPUNI HUSIKA WALIKUWA HAWAJAFIKA ENEO LA TUKIO NA VIJANA WAKAWA WANAENDELEA 'KUSAIDIA' MADEREVA.
HUYU NI RIPOTA WA GLOBU YA JAMII
EMMANUELLY MGONGO, KIBAHA
Duh! ilikuwa kazi risk sana kufanya, lakini sasa wafanyeje.
ReplyDeletehapa ni kufa kufaana au siyo michu?
ReplyDeletehii ndio tanzania hamna taratibu, hapa hawa watu hawakupaswa kuruhusiwa hata kidogo kufanya hiyo kazi ya kunyanyua waya, ni maalaka zuinazohusika tu ndo zilipaswa kufanya hiyo kazi. swala zima la usalama na uokoaji ni zero kabisa
ReplyDeleteThat is risk....Duhhhhh masikini nchi yangu....Ni shilling ngapi walikua wanapata hapo jamani kurisk their lives hivyo......
ReplyDelete